We jamaa muongo kinomaSasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu
Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam
Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi
Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine
Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine
Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu
Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita
Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu
Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine
Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Shida sio lipo ila limesemwa na nani!?Lisemwalo lipo...
Nakuelewa sana yesu mwenyewe aliishia kwenye 33. Ila ongeza taarifa mchizi bot hii siri tupeane ni kwanini adamu hufa mapema?Adam hawezi kuishi miaka 900 akijitahidi sana ni miaka 35
000 ni voidUlimwengu upo mingi kuanzia 111,222,333,444,555, hii dunia ni 666, ulimwengu zinazofuata ni 777,888,999. Nakuunga mkono ila ongeza taarifa watu wajue. Ukiona upo hapa jua unatakiwa uongeze juhudi ufike 777.
Na kama halipo linakujaLisemwalo lipo...
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu
Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam
Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi
Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine
Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine
Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu
Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita
Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu
Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine
Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
Anayehalalisha usahihi wa uhalali wa aliyesema ni nani? Kwa mfumo upi?Shida sio lipo ila limesemwa na nani!?
Haijapata kutokea uongo mkubwa kama huu hapa East Africa na ukanda mzima wa jangwa la sahara...khaaaa!!Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu
Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam
Sasa iko hivi binadamu unatakiwa kuishi miaka 100 kila sayari,na Dunia ndo sayari ya mwisho kwa Adam hivyo Dunia itakuwa sayari ya kwanza kwenda kwenye Sayari zingine zile zenye uhai na si hizi ambazo umesoma kwenye sayansi
Zipo sayari zingine zinazofanana kila kitu na Dunia na ndo safari ya maisha ya binadamu akielekea sayari nyingine
Binadamu akifa baada ya miezi tisa atazaliwa kwa mwanamke katika sayari nyingine
Endapo alikufa akiwa na umri wa miaka 40 atazaliwa kwenye sayari nyingine ambayo kule ataishi miaka 120 ndo atakufa tena na kuzaliwa kwenye sayari ya tatu
Kwa maana hiyo ikiwa binadamu amekufa kabla ya miaka 100 hivyo sayari inayofuata ataishi miaka mingi zaidi ili kufidia maisha ya sayari iliyopita
Kama atakutana na changamoto za kufa kabla ya miaka 100 kwa kila sayari ya kwanza mpaka ya sita basi Sayari ya Saba mpaka tisa changamoto za kukatisha maisha yake zitaondolewa na atafidia maisha ya miaka 900 ili amuone mungu
Pia hii inaenda sambamba na wanyama,na viumbe hai wengine
Pia inasemekana binadamu ukiwa unazaliwa kwenye sayari nyingine hutakuwa na uwezo na kumbukumbu kuwa umewahi kuishi ila kumbukumbu zitaanza kurejea utakapofikisha miaka 700 kwenye sayari ya saba na nane ambapo utakuwa muda wa kurekebisha uhai wa maisha yake
du!!!!......wa2 wanapiga fix balaa!!Amka ukakojoe
haya yatakuwa mafundisho yaliyo ndani ya Quran! Hakuna kitu kama hicho ndugu!nasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia ilikuwa Sayari ya mwisho kuishi kwa Adam