Wale waenda mbinguni watabisha[emoji1]Introduction
Illusion life ni maisha yasiyo halisi ambayo yametengenezwa kwa program maalum iliyopachikwa kwa kiumbe na kumfanya kiumbe huyo aone Anaishi maisha halisia kumbe sio kweli ni program tu inayo muendesha na kumfanya ajione Yuko vile alivyo.
Twende sawa Sasa..
[emoji117]Kwanza kabisa Uzi huu uko huru dhidi ya dini na falsafa zake,so msije kuni challenge kwa kutumia vifungu vya dini.
[emoji117]Kabla ya yote nikuulize swali ulishawahi kuota ndoto ukiwa umelala?am sure wote mnaosoma Uzi huu mmejibu ndio..vipi Kama usingeamka kutoka kwenye hiyo ndoto unayo iota?[emoji848] Unafikiria na majibu huna hahaha[emoji3]
[emoji117]Hiyo ndoto unayo ota ukiwa umelala ndio maana halisi ya illusion life,Yani unaota ndoto na unajihisi una furaha,huzuni,au Hali yoyote unayo kuwa nayo ukiwa unaota Ila ukishtuka unasema aah kumbe ni ndoto tu[emoji119]
[emoji117]Iko hivi hata maisha tunaishi hivi Sasa,vitu tunavyo viona,na Kila kitu haviko Kama tunavyo viona Ila program iliyo pachikwa kwenye vinasaba vyetu na bongo zetu ndio zinatufanya tutafsiri maisha Kama tunavyo yaona hivi Sasa..
[emoji117]Utajiuliza why nasema program?kumbuka kuwa binadamu wote tulio hai hivi Sasa tumefanyiwa coding..Yani tumetengenezwa kwa operating system inayotokana na vinasaba kutoka kwa baba na mama "CODING" Ni mfumo Kama ilivyo mifumo mingine ya computer unayo ifahamu..[emoji119]
[emoji117]Umeshawahi kucheza computer games?maisha ya viumbe unao waona kwenye hizo games ni sawa na wewe tu unavyo onekana kwa dimensions zilizo tengeneza game(program)ya maisha yako[emoji1787][emoji1787]
[emoji117]Twende kisayansi sasa,hakuna kiumbe hai bila energy ambayo itaendesha miumo ya kiumbe hicho,kwa sisi binadamu energy hiyo tunaipata through respiration ambapo chakula tunacho kula kinavunjwa na oxygen gas ili kutupatia nishati ambayo inatufanya tujihisi tuko hai na bila nishati hiyo tunajihisi ni wafu..
C6H12O6 + 6O2 ------>6Co2+ 6H2O + Energy (ATP)
[emoji117]Nimekuchanganya? Hiyo Ni sayansi ndogo tu ya form two,hivyo Basi hatusemi maisha tuliyo nayo ni ndoto Ila Ni illusion program inayotufanya tujione Kama tulivyo...vyote tunavyo viona, jua, mwezi, nyota, sayari n.k ni illusion tu Kama ambavyo unaweza kuibeba dunia ndotoni..
[emoji117]Fahamu pia hata evolution of man Ni updates tu za program tulizo wekewa,kutoka Homo habilis Hadi Homo sapiens ni sawa tu na kutoka windows XP Hadi windows 11[emoji119]..
[emoji117]Unapokufa Ni sawa na ku collapse,kugoma kufanya kazi kwa program uliyo nayo...
#itaendelea #jeremiah_kipoya_agent16
Ubaya hauwezi kuuondoa kamwe ubaya upo kwasababu maalum kabsa.mwl wangu alinambia hakuna anayeweza kuwa kichaa kisa ana akili nyingi kama tulivyoaminishwa zaman.
Ila tu mtu kwa kujiona ana akili anapambana na kuchallenge fixed facts mwishowe anaweuka.
Utaskia ..huyu alikuwa na akili nying had akaweuka! Kumbe ujinga wake ndo akaweuka.
Sasa naona kuna watu wanataka kuweuka kwa kuvuka mstari wa kujihoji. Kuna mambo ni established facts. Katika sheria ni kama judicial notice!
Matokeo yake tunaangukia nadharia na mambo yasiyotupeleka kwenye hali bora!
Najiuliza kwanini watu weng hatupendi kujadili namna bora ya kutengeneza harmonization na kuivuna furaha?
Najiuliza kwanini masuala ya haki na wajibu si ajenda muhim?
Najiuliza kwanini hatuwez kutatua matatizo yetu nje ya kushirikisha miujiza kama walau wazungu?
Kwanini hatuamini hatma ya kila jambo i mikonon mwetu kwa nguvu zetu za asili?
Kwanin hatukubalian hata shetan ni sisi wenyewe kwa tamaa na uroho wetu?
Kwanini hatuamini dunia na vilivyomo ni juu yetu kuvitumia kwa furaha yetu au maangamizi yetu?.
Mbaya zaid ni kwanini hatukubalian katika kuondoa ubaya unaodhuru wengi ikiwemo siasa, sheria na wanasiasa wabaya?
Kwanini?
Hahahahaa akina Lord OSAGYEFOUzi mgumu huu huwezi kuwaona ccm hapa
Kwa sababu uzi upo neutral na hawawezi neutral..Uzi mgumu huu huwezi kuwaona ccm hapa
Ndio,Kwamba sijaandika chochote[emoji848]
Mhhh...kwa io hapa tunaota halafu tukifa ndo tunashtuka kwamba ilikua illusion au tukifa nako ni illusion ambayo kutakua na illusion nyingine inayoifuta kuona kwamba kifo pia ilikua ni illusion?
Mkuu, hiyo spiritual meditation inafanywa vipi? Ahsante.Nakubaliana na wewe issue apa ni matrix ndo naana spiritual meditation inabaki kama kitu pekee cha kufanya mtu ajitambue.
Perfectly put!Fahamu pia hata evolution of man Ni updates tu za program tulizo wekewa,kutoka Homo habilis Hadi Homo sapiens ni sawa tu na kutoka windows XP Hadi windows 11[emoji119]..
[emoji117]Unapokufa Ni sawa na ku collapse,kugoma kufanya kazi kwa program uliyo nayo...
#itaendelea #jeremiah_kipoya_agent16
Ubaya unaweza kuondolewa, kwasababu ni inversely ya kitu kingine..Ubaya hauwezi kuuondoa kamwe ubaya upo kwasababu maalum kabsa.
Secondedmwl wangu alinambia hakuna anayeweza kuwa kichaa kisa ana akili nyingi kama tulivyoaminishwa zaman.
Ila tu mtu kwa kujiona ana akili anapambana na kuchallenge fixed facts mwishowe anaweuka.
Utaskia ..huyu alikuwa na akili nying had akaweuka! Kumbe ujinga wake ndo akaweuka.
Sasa naona kuna watu wanataka kuweuka kwa kuvuka mstari wa kujihoji. Kuna mambo ni established facts. Katika sheria ni kama judicial notice!
Matokeo yake tunaangukia nadharia na mambo yasiyotupeleka kwenye hali bora!
Najiuliza kwanini watu weng hatupendi kujadili namna bora ya kutengeneza harmonization na kuivuna furaha?
Najiuliza kwanini masuala ya haki na wajibu si ajenda muhim?
Najiuliza kwanini hatuwez kutatua matatizo yetu nje ya kushirikisha miujiza kama walau wazungu?
Kwanini hatuamini hatma ya kila jambo i mikonon mwetu kwa nguvu zetu za asili?
Kwanin hatukubalian hata shetan ni sisi wenyewe kwa tamaa na uroho wetu?
Kwanini hatuamini dunia na vilivyomo ni juu yetu kuvitumia kwa furaha yetu au maangamizi yetu?.
Mbaya zaid ni kwanini hatukubalian katika kuondoa ubaya unaodhuru wengi ikiwemo siasa, sheria na wanasiasa wabaya?
Kwanini?
Dhuu hili game sijawahi licheza nimechezaga GTA 5 tu hizi za mission sio sanaIntroduction
Illusion life ni maisha yasiyo halisi ambayo yametengenezwa kwa program maalum iliyopachikwa kwa kiumbe na kumfanya kiumbe huyo aone Anaishi maisha halisia kumbe sio kweli ni program tu inayo muendesha na kumfanya ajione Yuko vile alivyo.
Twende sawa Sasa..
[emoji117]Kwanza kabisa Uzi huu uko huru dhidi ya dini na falsafa zake,so msije kuni challenge kwa kutumia vifungu vya dini.
[emoji117]Kabla ya yote nikuulize swali ulishawahi kuota ndoto ukiwa umelala?am sure wote mnaosoma Uzi huu mmejibu ndio..vipi Kama usingeamka kutoka kwenye hiyo ndoto unayo iota?[emoji848] Unafikiria na majibu huna hahaha[emoji3]
[emoji117]Hiyo ndoto unayo ota ukiwa umelala ndio maana halisi ya illusion life,Yani unaota ndoto na unajihisi una furaha,huzuni,au Hali yoyote unayo kuwa nayo ukiwa unaota Ila ukishtuka unasema aah kumbe ni ndoto tu[emoji119]
[emoji117]Iko hivi hata maisha tunaishi hivi Sasa,vitu tunavyo viona,na Kila kitu haviko Kama tunavyo viona Ila program iliyo pachikwa kwenye vinasaba vyetu na bongo zetu ndio zinatufanya tutafsiri maisha Kama tunavyo yaona hivi Sasa..
[emoji117]Utajiuliza why nasema program?kumbuka kuwa binadamu wote tulio hai hivi Sasa tumefanyiwa coding..Yani tumetengenezwa kwa operating system inayotokana na vinasaba kutoka kwa baba na mama "CODING" Ni mfumo Kama ilivyo mifumo mingine ya computer unayo ifahamu..[emoji119]
[emoji117]Umeshawahi kucheza computer games?maisha ya viumbe unao waona kwenye hizo games ni sawa na wewe tu unavyo onekana kwa dimensions zilizo tengeneza game(program)ya maisha yako[emoji1787][emoji1787]
[emoji117]Twende kisayansi sasa,hakuna kiumbe hai bila energy ambayo itaendesha miumo ya kiumbe hicho,kwa sisi binadamu energy hiyo tunaipata through respiration ambapo chakula tunacho kula kinavunjwa na oxygen gas ili kutupatia nishati ambayo inatufanya tujihisi tuko hai na bila nishati hiyo tunajihisi ni wafu..
C6H12O6 + 6O2 ------>6Co2+ 6H2O + Energy (ATP)
[emoji117]Nimekuchanganya? Hiyo Ni sayansi ndogo tu ya form two,hivyo Basi hatusemi maisha tuliyo nayo ni ndoto Ila Ni illusion program inayotufanya tujione Kama tulivyo...vyote tunavyo viona, jua, mwezi, nyota, sayari n.k ni illusion tu Kama ambavyo unaweza kuibeba dunia ndotoni..
[emoji117]Fahamu pia hata evolution of man Ni updates tu za program tulizo wekewa,kutoka Homo habilis Hadi Homo sapiens ni sawa tu na kutoka windows XP Hadi windows 11[emoji119]..
[emoji117]Unapokufa Ni sawa na ku collapse,kugoma kufanya kazi kwa program uliyo nayo...
#itaendelea #jeremiah_kipoya_agent16
Ni kweli tunaishi kwenye matrix of illusion
HahaNimewaza kunyanduana nayo illusion?
Ndio na sisi tunavyo ishi,nothing is realDhuu hili game sijawahi licheza nimechezaga GTA 5 tu hizi za mission sio sana
Unaweza nitafuta inbox nikakupa mwongozoMkuu, hiyo spiritual meditation inafanywa vipi? Ahsante.
Kubdilika sawa je kuuondoa ubaya usiwepo kamwe?Ubaya unaweza kuondolewa, kwasababu ni inversely ya kitu kingine..
Kama mtu anaweza kubadilika kutoka kuwa mwema na kuwa mbaya siyo zaidi kwa ubaya...?
Ili uzuri uwepo lazma ubaya uwepo , utasemaje hiki kitu ni kizuri bila kulinganisha na kingne , uzuri na ubaya ni mtizamo wa mhusika tuUbaya unaweza kuondolewa, kwasababu ni inversely ya kitu kingine..