Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 129
- 166
Introduction
Illusion life ni maisha yasiyo halisi ambayo yametengenezwa kwa program maalum iliyopachikwa kwa kiumbe na kumfanya kiumbe huyo aone Anaishi maisha halisia kumbe sio kweli ni program tu inayo muendesha na kumfanya ajione Yuko vile alivyo.
Twende sawa Sasa..
[emoji117]Kwanza kabisa Uzi huu uko huru dhidi ya dini na falsafa zake,so msije kuni challenge kwa kutumia vifungu vya dini.
[emoji117]Kabla ya yote nikuulize swali ulishawahi kuota ndoto ukiwa umelala?am sure wote mnaosoma Uzi huu mmejibu ndio..vipi Kama usingeamka kutoka kwenye hiyo ndoto unayo iota?[emoji848] Unafikiria na majibu huna hahaha[emoji3]
[emoji117]Hiyo ndoto unayo ota ukiwa umelala ndio maana halisi ya illusion life,Yani unaota ndoto na unajihisi una furaha,huzuni,au Hali yoyote unayo kuwa nayo ukiwa unaota Ila ukishtuka unasema aah kumbe ni ndoto tu[emoji119]
[emoji117]Iko hivi hata maisha tunaishi hivi Sasa,vitu tunavyo viona,na Kila kitu haviko Kama tunavyo viona Ila program iliyo pachikwa kwenye vinasaba vyetu na bongo zetu ndio zinatufanya tutafsiri maisha Kama tunavyo yaona hivi Sasa..
[emoji117]Utajiuliza why nasema program?kumbuka kuwa binadamu wote tulio hai hivi Sasa tumefanyiwa coding..Yani tumetengenezwa kwa operating system inayotokana na vinasaba kutoka kwa baba na mama "CODING" Ni mfumo Kama ilivyo mifumo mingine ya computer unayo ifahamu..[emoji119]
[emoji117]Umeshawahi kucheza computer games?maisha ya viumbe unao waona kwenye hizo games ni sawa na wewe tu unavyo onekana kwa dimensions zilizo tengeneza game(program)ya maisha yako[emoji1787][emoji1787]
[emoji117]Twende kisayansi sasa,hakuna kiumbe hai bila energy ambayo itaendesha miumo ya kiumbe hicho,kwa sisi binadamu energy hiyo tunaipata through respiration ambapo chakula tunacho kula kinavunjwa na oxygen gas ili kutupatia nishati ambayo inatufanya tujihisi tuko hai na bila nishati hiyo tunajihisi ni wafu..
C6H12O6 + 6O2 ------>6Co2+ 6H2O + Energy (ATP)
[emoji117]Nimekuchanganya? Hiyo Ni sayansi ndogo tu ya form two,hivyo Basi hatusemi maisha tuliyo nayo ni ndoto Ila Ni illusion program inayotufanya tujione Kama tulivyo...vyote tunavyo viona, jua, mwezi, nyota, sayari n.k ni illusion tu Kama ambavyo unaweza kuibeba dunia ndotoni..
[emoji117]Fahamu pia hata evolution of man Ni updates tu za program tulizo wekewa,kutoka Homo habilis Hadi Homo sapiens ni sawa tu na kutoka windows XP Hadi windows 11[emoji119]..
[emoji117]Unapokufa Ni sawa na ku collapse,kugoma kufanya kazi kwa program uliyo nayo...
#itaendelea #jeremiah_kipoya_agent16