Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,756
gari ya kulia bata kidimbwi unaipeleka madongo kuinamana,Kuna mchina aliipeleka bmw Rufiji via mloka alirudi kalibeba
gari ya kulia bata kidimbwi unaipeleka madongo kuinamana,Kuna mchina aliipeleka bmw Rufiji via mloka alirudi kalibeba
wajapan wakaza shingo hadi wanakunya, kuna kipindi una wadharau tu japo ndugu zetu.. Amaroko kuipambanisha na Hilux ni ujinga mwingine huo unatakiwa kuingizwa kwenye guiness book 😀👴😀😀Amarok na Hilux ni ligi nyepesi sana kwa Amarok....
Yes wamesema.. Ishu ni sio nyingi.. Na hizo chache zinazoweza hazina engine ndogo.!"Tesla says it’s capable of 0-60 in less than 2 seconds, claiming in the earnings presentation that it’s the fastest-accelerating production car in the world." Siko kwenye ubishani wenu ila nime google mara moja na kukuta hii sentensi toka Bloomberg.
Huku field hayo magari yote yako huku na ni kazi kazi,na Vigo AN30 Shabib alizileta 20 hapo kwny Sgr na Ni kazi mwanzo mwisho.Na hakuna Gari ya mjerumani huku field.Toyota wanatengeneza Landcruiser mkonga tu kwa ajili ya rough road... Hii ndio gari ya field.
Wewe nenda kanunue Hilux Vigo kuanzia AN10 au Land Cruser V8 kuanzia 200 series halafu ukaipitishe kwenye mavumbi day in day out...
Kama haujalipaki kwa kushindwa kulihudumia....
Maana yananyonya damu mpaka utamtamani mwenye Bimmer.
Labda amatuers ndio watataka Amarok,makonki hawanaga muda yaani hata kuijadili mezani hamuwezi kuanza kuiongolea,maana principle ya kwanza mizigoni Ni CBA(Cost Benefit Analysis) ikiwa nje ya hio curve Wala hakuna mtu anaijadili.na hakuna mtu wa field asietaka Amarok, sema zimesimama.. zipo tunaziona watu wanazitumia field, na kuna hilux zimechakaa hadi kinyaa hata kupanda
Yes aisee.. Contractor yupo kibiashara zaidi.. Gari inavyokaa muda mrefu garage badala ya site inakuwa hasara kwake..Labda amatuers ndio watataka Amarok,makonki hawanaga muda yaani hata kuijadili mezani hamuwezi kuanza kuiongolea,maana principle ya kwanza mizigoni Ni CBA(Cost Benefit Analysis) ikiwa nje ya hio curve Wala hakuna mtu anaijadili.
Nikiangalia consumer trend za Tz, ipo hivi;Yeah sahizi hata Toyota nazo ni expensive mbona kumaintain! Wanaomiliki Harrier na Crown tu wanaelewa mziki wake hayo ma offroader tu ndio si mchezo!
Gari yenye 250hp na top speed ya 260kph anasumbua almost 95% ya gari za Tz.Amarok na Hilux ni ligi nyepesi sana kwa Amarok....
Hizo kazi mnazoziongelea ni zipi ndugu yangu? Kupasua mawe? Unless uwe rough driver ambapo hata hiyo Hilux utaipark juu ya mawe soon.Barabarani ila sio kwenye kazi
Hilux anatumia 1GD sahizi kama Fortuner tu! Engine ya 204HP so sio kinyonge sana yani!2.0L TDI ya amarok vs 3.0L ya Hilux 1KD...
Bado ligi nyepesi kwa amarok...
Hilux ipi unayozungumzia isije ikawa Hilux masawe?Hizo kazi mnazoziongelea ni zipi ndugu yangu? Kupasua mawe? Unless uwe rough driver ambapo hata hiyo Hilux utaipark juu ya mawe soon.
Hizo gari mnazioverrate sana, ila ni gari build quality ipo chini mno. Kinachowapa kiburi hata ukipasua radiator, kesho unaifuata kkoo unaifunga.
Ila hilux hapana.
Yes aisee.. Contractor yupo kibiashara zaidi.. Gari inavyokaa muda mrefu garage badala ya site inakuwa hasara kwake..
Ukishataja Reliability Mjerumani hana nafasi..!
Performance ndio inaendana naye..!
Wakati LC200 zinaanza kuingia, kuna mzee wa mshkaji alikuwa ndo wale watu wa kwanza kupewa, akawa analitumia kwenye shughuli zake za migodi ya madini.Toyota wanatengeneza Landcruiser mkonga tu kwa ajili ya rough road... Hii ndio gari ya field.
Wewe nenda kanunue Hilux Vigo kuanzia AN10 au Land Cruser V8 kuanzia 200 series halafu ukaipitishe kwenye mavumbi day in day out...
Kama haujalipaki kwa kushindwa kulihudumia....
Maana yananyonya damu mpaka utamtamani mwenye Bimmer.
Amarok ni gari ya kuuzia sura haina ugumu wa hilux! Kuipeleka kwa malengo ya kibishoo site inakua sio sawana hakuna mtu wa field asietaka Amarok, sema zimesimama.. zipo tunaziona watu wanazitumia field, na kuna hilux zimechakaa hadi kinyaa hata kupanda
Hapo ndipo nawashangaa mnaposema Toyota ni gari cheap! It depends ni gari gani yani highend cars za Toyota sio cheap ila hazina magonjwa ya mara kwa mara! Reliability iko juuWakati LC200 zinaanza kuingia, kuna mzee wa mshkaji alikuwa ndo wale watu wa kwanza kupewa, akawa analitumia kwenye shughuli zake za migodi ya madini.
Gari ikiharibika inapelekwa Toyota tz kutengenezwa, bill yake ikija unashika kichwa. Kwanza ni gari delicate sana inahitaji mtunzaji, usione madereva wa serikali wanazibamiza hovyo ukadhani ni vile unafikiria. Siku ukilimiliki utajua kwanini hata huko ulaya wanazikimbia.
Tafuta bei ya basic components ndo ujue rough estimates ya kulitunza hilo gari.
Dunia inabadirika watu wanafunguka akili, Amarok ni gari bora kabisa kuanzia site hadi town, ukitaka mwendo ndio mwake mle.. mnakimbiliaha offroad bado ina fanya vizuri na sio kila field zipo matakoni mwa nchi 😀😀😀Amarok ni gari ya kuuzia sura haina ugumu wa hilux! Kuipeleka kwa malengo ya kibishoo site inakua sio sawa
Amarok ni gari ya kuuzia sura haina ugumu wa hilux! Kuipeleka kwa malengo ya kibishoo site inakua sio sawa
Nyie wa kizamani hamuwezi ijadili 😀😀😀😀 ila sie wa kisasa hayo ndio maneno ... huwezi kimbia kitu kizuri mzee baba, na anae kimbia gari kali hata demu mkali hawezi mmudu atalia pia gharamaLabda amatuers ndio watataka Amarok,makonki hawanaga muda yaani hata kuijadili mezani hamuwezi kuanza kuiongolea,maana principle ya kwanza mizigoni Ni CBA(Cost Benefit Analysis) ikiwa nje ya hio curve Wala hakuna mtu anaijadili.