Mkuu nilifungua bima 2013 inatarajia kuiva mwaka huu 2018 mwezi wa Tisa jumla ya miaka mitano kamiliNaomba kama kuna mjinga yeyote amekuelewa anipe ufafanuzi...
hahahhahahhahahahaha hata mm sijaelewaa utumbo alioandika hapo!!Naomba kama kuna mjinga yeyote amekuelewa anipe ufafanuzi...
Mkuu acha kuharibu Uzi wa mwenzako are you serious that u havent understood what I have written au wewe uko bima sasa hautaki madudu yenu yasemwe ?hahahhahahhahahahaha hata mm sijaelewaa utumbo alioandika hapo!!
Ni mwaka wa tano sasa na bima yangu inakaribia kuiva mwezi wa Tisa sasa naomba niwaulize watu bima je itanichukua muda gani kuanzia mwezi wa Tisa bima itakavyoiva mpk kupata cheki yangu? Au mtakuwa na longolongo kama zamani?
Asante mkuu nimekuelewa ila hebu fafanua tabia ipiNakuonea huruma sana, hawa NIC wanasumbua sana kulipa bima zilizoiva. Jambo la msingi nenda ukanze kufatilia mapema, kama uko mkoani watafute file lako mapema ili waanze kulifanyia kazi.
Kama watakua waungwana utalipwa mapema, lakini kwa tabia yako sitoshangaa ikichukua miezi 6 kupewa cheki yako.
Asante mkuu nimekuelewa ila hebu fafanua tabia ipi
Kama hujui bima nic wewe ni kilaza
huyu anazungumzia bima ya maisha ilyoiva. Siku hizi hawachelewi sana NIC, ofisi za mikoa ni mapambo tu.Bima ni kitu gani?
Au unazungumzia Hati Fungani?
Bima Na wenyewe wana fixed deposit account?Ni mwaka wa tano sasa na bima yangu inakaribia kuiva mwezi wa Tisa sasa naomba niwaulize watu bima je itanichukua muda gani kuanzia mwezi wa Tisa bima itakavyoiva mpk kupata cheki yangu? Au mtakuwa na longolongo kama zamani?
Kwahiyo mikoani hawaproses chochote?huyu anazungumzia bima ya maisha ilyoiva. Siku hizi hawachelewi sana NIC, ofisi za mikoa ni mapambo tu.
wenyewe husemaga ndani ya miezi mitatuKwahiyo mikoani hawaproses chochote?
Na kama haichelewi je ni baada ya muda gani unakuwa ushalipwa?
Maana zamani nasikia ulikuwa unakaa miaka na sound juu
acha nyodo dogo, huku kwetu usingekawia kushushwa kishipa!Naomba kama kuna mjinga yeyote amekuelewa anipe ufafanuzi...
Bima ziko nyingiMinajua hella ya bima hairudi hadi upate najanga mreta mada. Au ni fixed account?