Bima yangu ya Taifa (NIC) inaiva mwezi wa 9, je nitachukua muda gani kupata cheki ya malipo?

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,456
31,023
Ni mwaka wa tano sasa na bima yangu inakaribia kuiva mwezi wa Tisa sasa naomba niwaulize watu bima je itanichukua muda gani kuanzia mwezi wa Tisa bima itakavyoiva mpk kupata cheki yangu? Au mtakuwa na longolongo kama zamani?
 
Naomba kama kuna mjinga yeyote amekuelewa anipe ufafanuzi...
Mkuu nilifungua bima 2013 inatarajia kuiva mwaka huu 2018 mwezi wa Tisa jumla ya miaka mitano kamili

Swali je itanichukua muda gani toka mwezi wa 9 2018 mpk kupata cheki ya malipo ?

Miaka ya nyuma walikuwa wanaudhi sana bima inaiva mwaka huu wanakuja kukulipa baada ya miaka mitatu kwa sound kibao
 
hahahhahahhahahahaha hata mm sijaelewaa utumbo alioandika hapo!!
Mkuu acha kuharibu Uzi wa mwenzako are you serious that u havent understood what I have written au wewe uko bima sasa hautaki madudu yenu yasemwe ?

Naomba mwenye info kamili juu ya madai ya bima ikishaiva wanalipa baada ya muda gani tokea kuisha muda wa makato
 
Ni mwaka wa tano sasa na bima yangu inakaribia kuiva mwezi wa Tisa sasa naomba niwaulize watu bima je itanichukua muda gani kuanzia mwezi wa Tisa bima itakavyoiva mpk kupata cheki yangu? Au mtakuwa na longolongo kama zamani?

Nakuonea huruma sana, hawa NIC wanasumbua sana kulipa bima zilizoiva. Jambo la msingi nenda ukanze kufatilia mapema, kama uko mkoani watafute file lako mapema ili waanze kulifanyia kazi.
Kama watakua waungwana utalipwa mapema, lakini kwa tabia yao sitoshangaa ikichukua miezi 6 kupewa cheki yako.
 
Nakuonea huruma sana, hawa NIC wanasumbua sana kulipa bima zilizoiva. Jambo la msingi nenda ukanze kufatilia mapema, kama uko mkoani watafute file lako mapema ili waanze kulifanyia kazi.
Kama watakua waungwana utalipwa mapema, lakini kwa tabia yako sitoshangaa ikichukua miezi 6 kupewa cheki yako.
Asante mkuu nimekuelewa ila hebu fafanua tabia ipi
 
Ni mwaka wa tano sasa na bima yangu inakaribia kuiva mwezi wa Tisa sasa naomba niwaulize watu bima je itanichukua muda gani kuanzia mwezi wa Tisa bima itakavyoiva mpk kupata cheki yangu? Au mtakuwa na longolongo kama zamani?
Bima Na wenyewe wana fixed deposit account?
 
huyu anazungumzia bima ya maisha ilyoiva. Siku hizi hawachelewi sana NIC, ofisi za mikoa ni mapambo tu.
Kwahiyo mikoani hawaproses chochote?
Na kama haichelewi je ni baada ya muda gani unakuwa ushalipwa?

Maana zamani nasikia ulikuwa unakaa miaka na sound juu
 
Back
Top Bottom