Bima ya mwezi mmoja

dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
4,004
Likes
3,446
Points
280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
4,004 3,446 280
Habari wanabodi

Hapa Tanzania kuna kampuni ya bima inatoa cover ya mwezi mmoja?
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,606
Likes
8,725
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,606 8,725 280
Sijui ngoja wajuzi waje ila me huwa nafoji bima Na sikamatwi wala nini.
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280

Omba Mungu usikutwe na janga ndugu yangu,nilifanya huo wendawazimu nikanunua sticker ya bima kwa buku 20 siku nikamparamia boda boda basi kuja kuwasiliana na watu wa bima yangu wanagundua sio mteja wao ivyo nimefoji tu kilichoendelea ni noma tupu niliziona nondo za gereza hizi hapa....nilikwepa 118000 nikaja kukamuliwa mpaka nikajuta.
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,606
Likes
8,725
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,606 8,725 280
Omba Mungu usikutwe na janga ndugu yangu,nilifanya huo wendawazimu nikanunua sticker ya bima kwa buku 20 siku nikamparamia boda boda basi kuja kuwasiliana na watu wa bima yangu wanagundua sio mteja wao ivyo nimefoji tu kilichoendelea ni noma tupu niliziona nondo za gereza hizi hapa....nilikwepa 118000 nikaja kukamuliwa mpaka nikajuta.
mkuu unawasiliana Na watu wa bima Ili iweje. We tia bima yako feki likikupata janga maliza hapohapo. Sasa mkuu bodaboda Tu unapigia bima. Nchi hii ukifuata sheria unaumia. Me gari yangu binafsi haivuki mkoa askari wote wa barabarani wanaijua wakiangalia wanaona Kama bima og nikiwaachia buku mbili ya vocha siku mojamoja haina shida. Naepuka 118000/=. ILA nashukuru kwa ushauri wako mkuu
 
Nilimvunja dereva wa bodaboda nikamtibu vizuri tu ghafla akakomaa kesi iende mahakamani na nikasimama mahakamani hukumu ikatoka jela au faini nikalipa kama laki 2 ivi nikajua yameisha,jamaa akarudi tena mahakamni hajaridhika na hukumu na hapo ndipo alipoibuka kwa watu wa bima na msala ukaanzia hapo alipojua bima yangu ni feki utata ukazidi BTW iyo bima fake nimetembea nayo kupita mikoa kibao tu ila bodaboda ndio ilinirudisha kwenye mstari.
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,606
Likes
8,725
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,606 8,725 280
Nilimvunja dereva wa bodaboda nikamtibu vizuri tu ghafla akakomaa kesi iende mahakamani na nikasimama mahakamani hukumu ikatoka jela au faini nikalipa kama laki 2 ivi nikajua yameisha,jamaa akarudi tena mahakamni hajaridhika na hukumu na hapo ndipo alipoibuka kwa watu wa bima na msala ukaanzia hapo alipojua bima yangu ni feki utata ukazidi BTW iyo bima fake nimetembea nayo kupita mikoa kibao tu ila bodaboda ndio ilinirudisha kwenye mstari.
pole Sana mkuu nadhani Kuna watu walikuwa nyuma ya hiyo kesi wakamshurutisha bodaboda. Pia walipogundua Una bima feki ndo wakatumia Kama fimbo. Usijali ndo ya walimwengu.
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,793
Likes
3,971
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,793 3,971 280
Omba Mungu usikutwe na janga ndugu yangu,nilifanya huo wendawazimu nikanunua sticker ya bima kwa buku 20 siku nikamparamia boda boda basi kuja kuwasiliana na watu wa bima yangu wanagundua sio mteja wao ivyo nimefoji tu kilichoendelea ni noma tupu niliziona nondo za gereza hizi hapa....nilikwepa 118000 nikaja kukamuliwa mpaka nikajuta.
Kuna jamaa huwa naona anakata bima akiwa ansafiri tuu. Sasa na hii sijui ipoje. Ila pia niulize iyo bima feki inakuwaje na nani anaitoa???? Na inakuwaje kuhusu kutembelea gari lenye bima feki kwa hapa Dar na mikoani, tofauti yake ni nn????
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280
Kuna jamaa huwa naona anakata bima akiwa ansafiri tuu. Sasa na hii sijui ipoje. Ila pia niulize iyo bima feki inakuwaje na nani anaitoa???? Na inakuwaje kuhusu kutembelea gari lenye bima feki kwa hapa Dar na mikoani, tofauti yake ni nn????
Bima fake ni kwamba unanua sticker tu ya bima na mostly wanauza Tshs 20000 na huwezi amini wanaotoa ni wafanyakazi wa kampuni za bima bila hata wasiwasi ila sasa gari yako inakua haijasajiliwa kwao ni kama tunavyonunua sticker za nenda kwa usalama bila kukaguliwa,kuhusu kusafiri nazo ni kawaida tu ingawa recently askari wa usalama barabarani wako makini sana kuzikagua na kwa kua nakata bima ndogo nilikua mteja mkubwa wa hizo fake nimeacha baada ya kukumbwa na iyo kadhia na sikushauri kabisa uingie kwenye hiyo burudani ni ngumu kuacha
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,793
Likes
3,971
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,793 3,971 280
Bima fake ni kwamba unanua sticker tu ya bima na mostly wanauza Tshs 20000 na huwezi amini wanaotoa ni wafanyakazi wa kampuni za bima bila hata wasiwasi ila sasa gari yako inakua haijasajiliwa kwao ni kama tunavyonunua sticker za nenda kwa usalama bila kukaguliwa,kuhusu kusafiri nazo ni kawaida tu ingawa recently askari wa usalama barabarani wako makini sana kuzikagua na kwa kua nakata bima ndogo nilikua mteja mkubwa wa hizo fake nimeacha baada ya kukumbwa na iyo kadhia na sikushauri kabisa uingie kwenye hiyo burudani ni ngumu kuacha
Ahaha eti kadhia. Sawa sasa kwa hyo bima ya 20k unaweza tembelea mwaka mzima???
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,606
Likes
8,725
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,606 8,725 280
Ahaha eti kadhia. Sawa sasa kwa hyo bima ya 20k unaweza tembelea mwaka mzima???
ndio unaweza tembelea bila wasiwasi kwa mwaka mzima maana askari wengi hawana vifaa vya kugundua bima feki ila shida siku ukikutana Na watu wa bima wenyewe au upate ajali hapo kichwa kitawaka moto kidogo
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
4,793
Likes
3,971
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
4,793 3,971 280
ndio unaweza tembelea bila wasiwasi kwa mwaka mzima maana askari wengi hawana vifaa vya kugundua bima feki ila shida siku ukikutana Na watu wa bima wenyewe au upate ajali hapo kichwa kitawaka moto kidogo
Asante kwa 3xperi3nc3 mkuu
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280
Ahaha eti kadhia. Sawa sasa kwa hyo bima ya 20k unaweza tembelea mwaka mzima???
Mwaka mzima tena bila bugudha mzee mimi kwa mara ya kwanza nimekatia bima halali chuma langu miezi 3 iliyopita ila miaka yote napita nao kwenye fake tu ,kuhusu bima ya mwezi 1 au 3 sina uhakika ila huduma kama iyo ilikuwepo nadhani mimi safari hii nilitaka nilipe kwanza 118000 alafu nije niongeze niwe nime insure gari kwa comprehensive lakini wakasema hawatoi tena huduma iyo.
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280
ndio unaweza tembelea bila wasiwasi kwa mwaka mzima maana askari wengi hawana vifaa vya kugundua bima feki ila shida siku ukikutana Na watu wa bima wenyewe au upate ajali hapo kichwa kitawaka moto kidogo
mimi msala tu ndio ulinitoa kwenye reli ila nilikua mdau mkubwa maana hii halali tunapigwa tu sarafu haina faida labda ukate comprehensive ila hizi 3rd part aaarrrrghhhh takataka.
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,606
Likes
8,725
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,606 8,725 280
mimi msala tu ndio ulinitoa kwenye reli ila nilikua mdau mkubwa maana hii halali tunapigwa tu sarafu haina faida labda ukate comprehensive ila hizi 3rd part aaarrrrghhhh takataka.
kweli mkuu hizi third part tunapigwa Tu Na ajabu hata mawakala wa bima wenyewe nao wanawapa watu bima feki bila kujua. Unajikuta unatoa 118000 yako fresh kumbe wakala wa bima haiandiki kwenye records zao anakuandikia kwenye sticker Tu basi. Me mkuu bado mdau wa bima feki yaani kutoa 118000 naona napigwa kweli.
 
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
6,429
Likes
6,386
Points
280
McDonaldJr

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
6,429 6,386 280
kweli mkuu hizi third part tunapigwa Tu Na ajabu hata mawakala wa bima wenyewe nao wanawapa watu bima feki bila kujua. Unajikuta unatoa 118000 yako fresh kumbe wakala wa bima haiandiki kwenye records zao anakuandikia kwenye sticker Tu basi. Me mkuu bado mdau wa bima feki yaani kutoa 118000 naona napigwa kweli.
Ni kweli aiseeee wale agents nao wajanja sana wakiona vipi wanakupiga tu likibuma wanasawazisha kwenye ishu ya bima kuna michezo mingi sanaaaa,mwakani nitarudi kundini hii sticker kila nikiiona nahisi maumivu tu
 
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Messages
3,606
Likes
8,725
Points
280
Age
28
Jembekillo

Jembekillo

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2011
3,606 8,725 280
Ni kweli aiseeee wale agents nao wajanja sana wakiona vipi wanakupiga tu likibuma wanasawazisha kwenye ishu ya bima kuna michezo mingi sanaaaa,mwakani nitarudi kundini hii sticker kila nikiiona nahisi maumivu tu
haaaa haaa haaa mkuu ukirudi kundini unipm,me mpaka pikipiki ya shamba nimeweka fake maana Kuna askari mahali fulani napitaga Ni wakuda sana
 
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
4,004
Likes
3,446
Points
280
dyuteromaikota

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
4,004 3,446 280
Hawa watu wa bima inabidi wawe wabunifu. Mishahara inaingia ya mwezi mwezi lkn wao wanakomaa na bima ya mwaka.
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
2,812
Likes
2,467
Points
280
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
2,812 2,467 280
bima za mwezi zipo, nadhani ni kama elf 30 hivi kwa 3rd party. ila jamani mm siwashauri bima fake mzee wewe uliyekwepa nondo hiyo ni trailer tu muvi itakuja, inakuaje ununue chombo lets say mil 20 alafu ukate bima fake? au ni yale magari ya mil 1.5 nini? mimi bima imenisaidia sana hasa compreh..kuna siku vibaka waling'oa taa na vitaka taka vingine nililipwa pesa iliyofidia bima zote nilizokata. kwakweli ni heri nikope lakni ckat 3rd party kwenye gari yangu.
 
Tindi

Tindi

Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
74
Likes
11
Points
15
Tindi

Tindi

Member
Joined Apr 3, 2012
74 11 15
kweli mkuu hizi third part tunapigwa Tu Na ajabu hata mawakala wa bima wenyewe nao wanawapa watu bima feki bila kujua. Unajikuta unatoa 118000 yako fresh kumbe wakala wa bima haiandiki kwenye records zao anakuandikia kwenye sticker Tu basi. Me mkuu bado mdau wa bima feki yaani kutoa 118000 naona napigwa kweli.
Mkuu hayo mambo ya kizamani, sasa hivi ukikatiwa sticker ya bima inaingizwa kwenye mtandao ambo kila mtu aweza kuhakiki.Huna haja ya kupiga simu kwa wakala. Askari anaingiza no ya sticker tu kwwnye mfumo anapata taarifa zote. Sikushauri kufanya mchezo huu kabisa
Kwani ukidakwa ni hatari. Pili kwa kukupa ufahamu sasa hivi unatakiwa ulipe pesa kwenda kampuni ya bima kwanza watakapo thibitisha wamepokea pesa ndio wakala au agents watakupa sticker ya bima. Na hakikisha kwa kutumia simu yako au ingia kwenye tovuti ya www.tira.go tz online portal kwa ajili ya uhakiki kabla ya kuitumia ili kuepuaha matatizo
 
Forum statistics

Threads 1,251,851
Members 481,916
Posts 29,787,571