Jamani naomba kujua kama kuna insurence inayo toa bima ya mapenzi hapa Tz tafadhari!
Yes hii mwafaka kabisa; ita cover yafuatayo; akikuudhi,akikupiga kibuti, akikununia, ukipungukiwa mkwanjwa wa kumtoa out, vocha za simu,mafuta ya gari kumpeleka misere outing mnaita wenyewe, mengineyo ongezea! Hawa watu wa bima wangekuwa serious hii inalipa na true unakata comprehensive kabisaaaaaaa!