Bima ya mapenzi tanzania

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,493
1,311
Jamani naomba kujua kama kuna insurence inayo toa bima ya mapenzi hapa Tz tafadhari!
 
Nenda NIC watakuwa na jibu
au subiri kama kuna mdau wa NIC hapa atakujibu
all the best
 
Hii nimeipenda. Tena unakata comprehensive kabisaaaaaaaa! Unalipwa ki2 kipyaaaaa!
 
bima ya mapenzi hhhahahahah, watanzania wanavyopenda kuwekeza hiyo Co haitapata wafuasi kbs
 
Sijaelewa vizuiri, fafanua. Unataka Bima wafidie nini hasa? mpenzi wako mkiachana?, bahati mbaya mpenzi wako akifariki?, mpenzi wako akikuudhi? au....................
 
Kzi kweli kweli wajameni!!!!!!!!!!!!!!! Bima ya mapenzi!? Yaani ukiachwa upate mme/mke mpya?
 
Yes hii mwafaka kabisa; ita cover yafuatayo; akikuudhi,akikupiga kibuti, akikununia, ukipungukiwa mkwanjwa wa kumtoa out, vocha za simu,mafuta ya gari kumpeleka misere outing mnaita wenyewe, mengineyo ongezea! Hawa watu wa bima wangekuwa serious hii inalipa na true unakata comprehensive kabisaaaaaaa!
 
Duh NATA nina amini kabla ya kukupa hiyo Bima ya mapenzi itabidi wapime MJALEDI wako na KITUMBUA cha mdau wako ili waweze kufanya tathmini itakayowawezesha kukadiria kiwango cha malipo unayostahili kutozwa!!!!!!!!! Bongoland ni rahisi sana kupata mapenzi halikadhalika kufanya mapenzi, changamoto ipo kwenye kupata upendo wa kweli na dhati.
 
Yes hii mwafaka kabisa; ita cover yafuatayo; akikuudhi,akikupiga kibuti, akikununia, ukipungukiwa mkwanjwa wa kumtoa out, vocha za simu,mafuta ya gari kumpeleka misere outing mnaita wenyewe, mengineyo ongezea! Hawa watu wa bima wangekuwa serious hii inalipa na true unakata comprehensive kabisaaaaaaa!

Na hasa pale mtu anapoamua kukuacha wakati amekupotezea muda na wewe bado unampenda...
Fidia muhimu
 
Unanikumbusha wimbo wa Western Jazz enzi zao " Ingekuwa, wenye kugombania mapenzi wana jela ya peke yao mwenzangu ..............."
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom