Bima ya afya (NHIF) kwa hili sio sahihi mnatuibia

Bima ya afya (NHIF) kwa hili sio sahihi mnatuibia

NHIF endeleeni kupiga kazi, tunaona jinsi Bima inavomsaidia Mtanzania kupata matibabu ya uhakika. Watu wengi wanataka kile ambacho kitawafaidia wao na wategemezi wao lakini iwapo kuna sheria na kanuni tunaamini kwamba watanzania wote watapata nafasi ya kujiunga kwa sheria na kanuni zitakazowekwa ili wote wanufaike. Naamini leo mmefikia watanzania ambao wengi wao wanaamini kwamba NHIF imekuwa na msaada mkubwa. Kwa wale wasioona basi huwezi ukawabadirisha mawazo yao lakini siku moja watajua jinsi gani mlivo na moyo wa kuwafikia watanzania wote !
 
Mama uliyewahi kukalia kiti cha swali la nyongeza hebu fuatilia kwa karibu malalamiko haya na waala usitake taarifa hizo wakupe watu wa ndani ya system, hebu pata kutoka INTELEJISIA!!!! vina kera sana. Unakumbuka enzi za Mwl. aliwahi kugoma eneo fulani kisa palipakwa rangi kisa ni ujio wake, sasa nawe elewa ukisubiri taarifa za staff NHIF utapewa mapambio kibao kumbe hakuna stahili yoyote
 
Japo nyeti kama hilo lilitakiwa kiwa rapported kabla hujaumwa, sasa mfano ungekuwa ndio uoo hoi huwezi hata kukimbia kama ulivyo kimbia hapo bima?
ilinibidi nirudi nyumbani maana nilienda na nauli tu
 
Back
Top Bottom