jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,375 Reaction score 25,453 Mar 20, 2024 #21 Sang'udi said: Mwenesha mashitaka wa serikali, Letitia James, ni M-democrat. Click to expand... Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm?
Sang'udi said: Mwenesha mashitaka wa serikali, Letitia James, ni M-democrat. Click to expand... Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm?
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,374 Reaction score 22,992 Mar 20, 2024 #22 jmushi1 said: Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm? Click to expand... Wamembambikizia kesi.
jmushi1 said: Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm? Click to expand... Wamembambikizia kesi.
dong yi JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 5,956 Reaction score 8,344 Mar 21, 2024 #23 michael92 said: Takuwa wa mwisho kuamini Marekani kuna demokrasia. Wale wenye vichwa vilivyojaa kamasi ndio huwa wanatolea mfano Marekani. Pale pangekuwa na demokrasia hiyo inayosemwa basi ubaguzi wa rangi ingekuwa ni ngumu sana kuushuhudia. Mara 100 uniambie France wale wanajitahidi katika hilo somo la demokrasia. Click to expand... ni wajinga tu ndio wanaamini kuna demokrasia pale..... uhuni tu
michael92 said: Takuwa wa mwisho kuamini Marekani kuna demokrasia. Wale wenye vichwa vilivyojaa kamasi ndio huwa wanatolea mfano Marekani. Pale pangekuwa na demokrasia hiyo inayosemwa basi ubaguzi wa rangi ingekuwa ni ngumu sana kuushuhudia. Mara 100 uniambie France wale wanajitahidi katika hilo somo la demokrasia. Click to expand... ni wajinga tu ndio wanaamini kuna demokrasia pale..... uhuni tu
dong yi JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 5,956 Reaction score 8,344 Mar 21, 2024 #24 jmushi1 said: Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm? Click to expand... fungua macho na akili,.. walianza kwanza kumpa makesi mengine mengine, walipoona ametoboa wakaja na rulling ya kumwondoa kwenye ballot...SC ikatupilia mbali, saizi ndio wamekuja na hii ya kumfilisi.......
jmushi1 said: Kwahiyo hiyo inahusiana vipi? Huyo mwendesha mashitaka ndo ameifanya democrats iwe kama ccm? Click to expand... fungua macho na akili,.. walianza kwanza kumpa makesi mengine mengine, walipoona ametoboa wakaja na rulling ya kumwondoa kwenye ballot...SC ikatupilia mbali, saizi ndio wamekuja na hii ya kumfilisi.......
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,375 Reaction score 25,453 Mar 21, 2024 #25 dong yi said: fungua macho na akili,.. walianza kwanza kumpa makesi mengine mengine, walipoona ametoboa wakaja na rulling ya kumwondoa kwenye ballot...SC ikatupilia mbali, saizi ndio wamekuja na hii ya kumfilisi....... Click to expand... trumpy’s fraudulent business practices has nothing to do with Letitia being a democrat whatsoever.
dong yi said: fungua macho na akili,.. walianza kwanza kumpa makesi mengine mengine, walipoona ametoboa wakaja na rulling ya kumwondoa kwenye ballot...SC ikatupilia mbali, saizi ndio wamekuja na hii ya kumfilisi....... Click to expand... trumpy’s fraudulent business practices has nothing to do with Letitia being a democrat whatsoever.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 57,680 Reaction score 91,588 Mar 23, 2024 #26 Sang'udi said: Wamembambikizia kesi. Click to expand... Trump ni tapeli muda mrefu tu, Kesi ya utapeli ya Trump University akitakiwa kuwalipa wanafunzi aliowafanyia utapeli Million 25$ iliamuliwa na mahakama mwaka 2017 Trump akiwa Rais.
Sang'udi said: Wamembambikizia kesi. Click to expand... Trump ni tapeli muda mrefu tu, Kesi ya utapeli ya Trump University akitakiwa kuwalipa wanafunzi aliowafanyia utapeli Million 25$ iliamuliwa na mahakama mwaka 2017 Trump akiwa Rais.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,562 Mar 23, 2024 #27 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,375 Reaction score 25,453 Mar 23, 2024 #28 Smart911 said: Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw Click to expand... Ok cc Mahondaw