Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Si ndio hiyohiyo mlikuwa munaipinga,.
Nani kaipinga katiba wewe una matatizo Na tatizo lako nimeshakuambia ni kichukia waliokuzidi uwezo pambana Na Hali yako mkuu
 
Kwa mtazamo huo basi wachaga kwao moshi tu, huku mikoani hawa waliopo watafutie identity.
Wewe huna unalolijuwa, kama hujui kitu uliza uelimishwe, kabla ya jina la Dar huu mkoa ulikuwa ni sehemu ya Pwani ikiitwa Mzizima na hata kimipaka Gongo la mboto ilikuwa upande wa Kisarawe.

Wewe hujui kitu na siyo kazi yangu hapa kuandika historia ila wapo Wazaramo ambao kwao kiasili kabisa ni Kinyerezi na gongo la mboto Dar.

Ditopile Mzuzuri nyumbani kwao kabisa ni kinyerezi, kilwa road yote ndani ya mkoa wa pwani ni ya wamatumbi na wandengereko.
 
Hili gazeti lako lipeleke shule za chekechea,watu unowadharau unawaandikia gazeti?mbona wewe mgogo nakusitiri tu.
 
Northern air,northern engineering dah!! Acha waisome tu hamna jinsi,wanazunguka navogue kumbe wanaforge mpk refund za TRA!sipati picture km rais angekua mtu km naniiii........km angeweza kufumua madudu km haya!JPM abarikiwe sana
Ni upepo tu utapita..
 
Tumeongea mengi sana kuwahusu hawa mabwana,
ila wakati wanapambana & kujinyima kuitafuta pesa tuliwaona na hatukusema kitu ila leo wamefanikiwa ndio tunaanza kuwazonga...

Kama sisi ni majasiri kwanini hatujaanza na watoto wa mkwere.?

Kama tunajisifia kwa kufanya kazi kwanini hatujamgusa Lugumi.?

Wapo wengi waliotuibia lakini kutokana na mihemko ya kisiasa tumewasahau na kuwasamehe wezi wote( )
badala yake tunabaki kuwakamata hawa waliojijengea misingi imara ya kutafuta pesa..
Ila mimi nafikiri ni chuki tu dhidi ya watu wakaskazini imetujaa kama sio hvyo kwaujasiri tusingewasamehe wakwepa kodi walioigarimu serikali ya tz akiwemo Said BAKHRESA.. na wenzie..

ila hao hawakupelekwa mahakamani wala kufungwa badala yake walipewa siku 7 kuhakikisha wameklia madeni yao..

Nasikia harufu ya Ukanda
 
acha ujinga yaani ulitaka hawa wezi waachwe?
 
acha ujinga yaani ulitaka hawa wezi waachwe?

Mdau makini, umedhihirisha umakini wako asee. Haiwezekani wale wakwepa kodi wakubwa walioingiza serikali hasara kubwa wakasamehewa kwa kupewa siku saba walipe madeni yao na hawa wakabanwa kiasi hiki. Hizi double standards zinatoka wapi? Its unfair.

Sitetei mkwepa kodi ila nasikitika kuona sheria yetu si msumeno wa kukata pande mbili kama wahenga walivyotuaminisha.
 
Daah huyu si ndo alikuwa anashika tender zote za majengo ya Serikali? Kajenga almost ofisi zote za makao makuu ya wilaya na mikoa zilizojengwa from 2000's kumbe jipu??
 
Lakini kwa nini ahukumiwe magufuli kwa mapungufu ya kikwete au mkapa, sawa wote ni ccm lakini kila mmoja ana mtazamo wake. Ni sawa na wewe kuhukumiwa kwa matendo ya babu au baba yako, fine mko related lakini ni zama tofauti kabisa. Mwacheni Magu afanye yake then akimaliza sasa ndio hukumu ifuate.
 
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…