Billionaire Samweli Lema wa Arusha Ndani ya Segerea

Chenge alithibitika kimataifa kuwa ameficha pesa ya Rushwa huko visiwa vya Jersey. Leo ni kiongozi CCMScrow na bungeni. Kuna mambo magumu sana kuyafikiria nchi hii.
 
Bilioni mbili ndogo?Halafu ni mchagga huyo eeh?
Kwa Lema Billion mbili ni sawa na wewe unavyoizungumzia buku mkuu...huyu jamaa pesa IPO!! Ndiyo ni mchaga
 
Akili za kimaskini
Anayehudumia minara
1. kufanya service ya gensets
2. kufanya refueling
3. Ku-attend callouts

Si jambo la ajabu kuwa na landcruisers. Unawezaje panda na IST pale juu mlimani kwenye mnara wa Chanikanguo Masasi!? Unawezaje kupanda na Starlet pale Mikangaula ..!? unafikaje pande plot huko Kilwa wakati wa mvua.!? unapandeje kwenye minara ya Mazombe kule Iringa kama si Landcruiser!? unafikaje Towers za Lugoba kama huna landcruiser au yanayofanana na hayo..!??
Kuna watu hawajui industry fulani inahitaji nini LAKINI wanakoment hatari..!! Unfortunately unavyozidi kusimulia usilolijua ndivyo unavyozidi kuonekana au kuonyesha namna gani na kwa kiasi gani hujui...
 
 
Huyu mzee kwa watu ambao wamefanya kaz nae watathibitisha kuwa alikua genius...huyu mzee ana elimu ya standard 7 tuu ila ukikaa nae unaweza sema ni Prof.
 
Kwani wewe tataizo lako ni lipi?!,ulitaka wasipelekwe mahakamani? Au unataka waendelee tu kuliibia taifa??!,
 
Kwenye huu uzi kuna ccm na cdm tenaaa,km huwezi kuchangia si unyamaze kimya,kila kitu wewe ni ccm,
 
Tulianza na kina manji, kuna seti lugemalila na wengine wengi tu,lkn kuna kanda furani wanaamini wao ni malaika wa mungu,ukiwagusa tu watakimbilia kusema tunafuatiliwa kusiasia,mala tunafuatiliwa kikanda,hawa watu ni waajabu sn
 
nipo upande wako boss .. mi sio mpinga maendeleo
 
nipo upande wako boss .. mi sio mpinga maendeleo
Nakusoma boss... unajua kwa baadhi ya waTZ, umasikini ndo uzalendo na utajiri ni wizi... wao kwao kila tajiri ni mwizi
Kumsomesha namba Lema, ni kuwasomesha namba waTZ wengi sana... Ni sawa na yale ya yule muhindi, hadi mbaazi ikashuka bei toka 3,000/- hadi 150/-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…