Why and how negative? Fafanua in fact hujachangiaHappy Valentine nyote!
Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana
Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango kubwa lenye picha ya ampendaye na kuliweka barabarani. Naona kila Mtu amefurahia hii na kwa mtazamo wengi wamepongeza na kusema haya ni mapenzi ya kweli. Wengine wameenda mbali sana na kusema wao pia wanatamani wangefanyiwa hivyo.
Binafsi somehow niko negativity on it. Nilitamani pia nipate maoni ya wengi au view za great thinkers hapa.
Dah....kikawaida.....unapewa zawadi ya shati la elfu 30 jioni....asubuhi unapigwa kizinga Cha laki...kihisabati....kila zawadi unayopewa mwanaume hulipwa kwa zaidi ya Mara 3.....mwenzetu ajiandae
Ni aina ya tatizo la kisaikolojia na kutojiamini huku ukidhani unajiamini.. Ni ulimbukeni na kukosa tafakuri ya kesho..kumbuka moyo wa mtu ni kiza kinene sanaHappy Valentine nyote!
Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana
Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango kubwa lenye picha ya ampendaye na kuliweka barabarani. Naona kila Mtu amefurahia hii na kwa mtazamo wengi wamepongeza na kusema haya ni mapenzi ya kweli. Wengine wameenda mbali sana na kusema wao pia wanatamani wangefanyiwa hivyo.
Binafsi somehow niko negativity on it. Nilitamani pia nipate maoni ya wengi au view za great thinkers hapa.
Nmekuelewa mkuu..Ni aina ya tatizo la kisaikolojia na kutojiamini huku ukidhani unajiamini.. Ni ulimbukeni na kukosa tafakuri ya kesho..kumbuka moyo wa mtu ni kiza kinene sana
Thamani ya mapenzi ya kweli iko moyoni na sio kwenye mabango... Huo ni upotevu wa pesa na kuonesha ukwasi ambao kuna wanaotafuta theluthi yake ili waweze kupata mahitaji ya msingi kama matibabu, lishe malazi nknk
Kumbuka haya mambo huambatana na laana. Usije kushangaa mwakani ukaona bango tofauti na hili...
Mahusiano ni jambo binafsi sana halihitaji matangazo kuthibitidha upendo