Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,887
Ninadhani mama ni petitDingi bonge la jitu
We msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?
Kwa hiyo huyo ndio mzee Gates mwenyewe mwenye mtoto wa kuitwa Bill?
Sana! Mnazeeka pamoja na Mzee hapo ni Mzazi RafikiWhat a blessing to see your parents that old.
Kwa kawaida wanaowaita wenzao agent wa shetani huwa ni mashetani wenyewe originalWe msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?
Nashangaa Mtanzania hata kutengeneza tooth pick huwezi upo unalia lia hapa kwamba mzungu anakuchukia akuchukuie au akuogope wewe una lipi la kumtisha?
Sent using Jamii Forums mobile app