Bill Gates akiwa na baba yake

Bill Gates akiwa na baba yake

Kwa picha hyo ndiyo utajua mindset ya mtu,
Anawajukuliache watu waliofanikiwa
 
We msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?

Nashangaa Mtanzania hata kutengeneza tooth pick huwezi upo unalia lia hapa kwamba mzungu anakuchukia akuchukuie au akuogope wewe una lipi la kumtisha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu hapo utamkuta ana laptop yenye Windows [emoji23][emoji23] tena na package ya Microsoft office pia ana email ya outlook/live pia ana accout linked ana games za Xbox 🤣 waiii
 
We msabato acha uchawi utaikosa pepo kwa kuwawazia mabaya wenzako,wewe unadhani Bill Gates uwepo au usiwepo unampunguzia nini wewe?

Nashangaa Mtanzania hata kutengeneza tooth pick huwezi upo unalia lia hapa kwamba mzungu anakuchukia akuchukuie au akuogope wewe una lipi la kumtisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe bure, ANA STRESS[emoji23]
tapatalk_1586310796383.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom