rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,077
- 3,419
Habar wandugu,,,,,,hawa jamaa wakuitwa Anostore muwe nao makini Kuna machine zao za kuhesabia pesa bill counter wanauza,,,zina changamoto ya kugundua pesa fake...juzi nimechukua moja inanisumbua na mwambia boss wao kagoma kurudisha... nifanyeje wadau????