Bilioni moja papu iko kwa account


Mnyongeni Mnyonge

Mnyongeni Mnyonge

Senior Member
Joined
Mar 13, 2015
Messages
173
Likes
127
Points
60
Mnyongeni Mnyonge

Mnyongeni Mnyonge

Senior Member
Joined Mar 13, 2015
173 127 60
Wana jf nawasalimu kwa moyo mnyoofu(hivi mkunjufu ndo sawa eeh)

Turudi kwenye mada kimsingi bilioni moja sio pesa ya mchezo mchezo kwa mfano nkiipata mimi ntaifanyia nini??
Kwanza:kuipata hiyo bilioni moja najua siwezi ila kwa wastani nkiwaalika wapelelezi watatu kutoka scotland yard police naiweza kuipata kirahisi kwan gawiwo lao ni milion mia nne keshi ntawapatia ambzo watajua wao wafanyie nn
Pili: kimahesabu ntabakiwa na milioni mia sita ambazo kwenye biashara yangu nahitaji milioni mia mbili tuu kwa kuanzia so milion 200 ztaingia kwenye biashara yangu chapu kwa haraka
Tatu: ntabakiwa na milioni mia nne kwanza ntafanya sherehe ya kuuaga umaskini ntavuruga kama milioni 20 afu milion 80 zitakuwa nmezimwaga kwenye nyumba ntakayotaka kuishi ambapo kale kakiwanja kangu pale kigamboni ntaweka mjengo wangu wakisasa kupumzika na dada yenu nkiwa natafuta usingizi kila iitwayo leo asubuhi viwili mchana viwili usiku vinne kwa raha zangu
Nne:nisikufiche lazima ninunue usafiri wakutembelea bhana wakati ndo huo wife atapata noah yake ya milioni kumi na mm ntachukuwa Land cruser yangu mayai wenyewe mnaita shangingi ili nkitaka kwenda hapo home chapu mbeya hii hapa saa tisa nakula ugali kwa bimkubwa hii nachukua second hand milioni 60 jumla milion 70 zitakatika hapo wife na mimi milion 30 nanunua mahitaji ya nyumbani kwanza mtv mmoja wa maana wenyewe mnaita smati tivi inchi 60 ili niangalie taarifa ya habari(nmechoka kuangalia kwa jirani)
Nne:Bi mkubwa na mshua pale mbeya sitawaacha hivi hvi nao nitawapatia milioni 25 na milioni nyingine 25 ntawarekebishia nyumba yao ile inayoezuliwa na upepo ikae sawa mshua anafuga sana mifugi ntampa kagari kirikuu na passo yakuendea kanisani kuabudu na dogo langu atakula 50milioni keshi afanyie mambo yake mana ndo anaanza maisha
Tano na mwisho:nabakiwa na milioni mia hizi ndo zakuanzia maisha na kubaki apu ile bizinesi maisha murua mustarehe

Kama ndoto eeh lakini ni kweli bilioni moja mkononi

Mipango Matumizi buana
 
Cookie

Cookie

Content Quality Controller
Staff member
Joined
Aug 6, 2009
Messages
1,963
Likes
107
Points
160
Cookie

Cookie

Content Quality Controller
Staff member
Joined Aug 6, 2009
1,963 107 160
hela ilivyo na uibilisi usishangae hata mia tano msipate
Mkuu Mnyongeni Mnyonge ni mtu wa watu / ana roho nzuri / ana utu sana, alipitiwa tu kusema kiasi gani atatoa kwa JF
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,029
Likes
11,971
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,029 11,971 280
Ingia Kichwa kichwa hiyo bili 1 ikutokee puani.
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,338
Likes
17,333
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,338 17,333 280
Cheza Dili LA makontenaSwissme
 
Mnyongeni Mnyonge

Mnyongeni Mnyonge

Senior Member
Joined
Mar 13, 2015
Messages
173
Likes
127
Points
60
Mnyongeni Mnyonge

Mnyongeni Mnyonge

Senior Member
Joined Mar 13, 2015
173 127 60
Wazeee ihi kichwa yang inawaza billion moja kila second
Nataman ata nikuote Mo mahali ulipo
nenda kwenye uzi flan unaitwa astra nn cjui huko unaweza kutoka kiroho ukamuona more yupo wap mkuu usinisahau kwenye mgao ukifanikiwa
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
4,648
Likes
4,635
Points
280
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
4,648 4,635 280
Una kiwanja Kigamboni alafu taarifa ya habari unaangalia kwa jirani.

Punguani wewe!
 
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined
Apr 29, 2016
Messages
4,976
Likes
4,405
Points
280
Age
22
Kanungila Karim

Kanungila Karim

Verified Member
Joined Apr 29, 2016
4,976 4,405 280
Tuna safar ndefu kufika Tanzania ya viwanda
 

Forum statistics

Threads 1,236,777
Members 475,220
Posts 29,268,100