SparkJuniour2020
JF-Expert Member
- Jan 10, 2018
- 291
- 120
🙄🙄🙄🙄🙄
Wan consult tb joshua bushiri gwajima mzee wa upako sharifu majini yaani wazugaji wote arobain yao imefika
Hata Mimi nipo njiani muraa....sipati picha bus za kutoka mara to dar zinavyojaza wakurya wanaokuja town kuchangamkia fursa maana wazee wa kukamuliwa na wapemba hiyo kazi hawataiweza.
Kakodi kao tiaraei katakatwa kiasi gani kwenye 1B mkuu?Kwa wale wasiojua bilioni moja inaandikwaje au ina masifuri mangapi hii hapa... 1,000,000,000/=... Bilioni moja ina sifuri 9....!
Kwa pesa yetu ya kibongo (sipendi kuiita madafu) ni kukidharau cha kwangu mwenyewe hivyo ni kujidharau, bilioni moja si kiwango haba cha minoti ila ukija kubadili kwa dola haifiki dola laki nne na nusu(450,000$)... Kwa utajiri wa MO alionao hii tunaita kimombo... Chicken [emoji239] feed.... Yaani ni kidogo sana...! Kuku hawezi kumaliza punje 30 za mahindi... Akimaliza ujue atavimbiwa na kuvimbiwa...
Familia ya MO imetangaza rasmi donge nono la shilingi za kitanzania BILIONI MOJA kwa atakayefanikisha kupatikana kwa ndugu yao (pengine akiwa hai)
Familia imechukua uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa dhumuni la kutekwa ndugu yao halikuwa kikomboleo(ransom) bali ni sababu nyinginezo.... Kama sababu ni kikomboleo tayari watekaji wangeshaongea kuwa wanataka bei gani! Na hili lingefanyika ndani ya saa 72! Jamaa huwa hawapendi kupoteza muda... Wanaweka dau mezani halafu muamie kunyoa ama kusuka!
Kwa kutangaza zawadi nono kama hiyo ni wazi na ni dhahiri sasa mambo ni magumu na wako tayari hata kupanda dau ili tu kumpata ndugu yao akiwa salama salimini... Pesa zinatafutwa lakini sio uhai..
Nimeona watu wengi wakiijadili B1, hiyo sio pesa ya mchezo na haipatani kirahisi kama kuokota mwekundu njiani.... Ni pesa ambayo kila mtu anatamani kuipata, lakini huu mnanda ni next level... Hii sio singeli.... Ni MNANDA!
Sio watu binafsi tu hata private investigations nyingi ndani na nje ya nchi zingependa kuchangamkia tenda.... Tusichokijua wengi ni kwamba tunaiwaza tu B1 na masifuri yake 9.... Lakini kuipata ni jambo la kwanza na maisha utakayoishi baada ya kuipata ni jambo jingine kabisa.... Unaweza kuipata leo na baada ya wiki tu tukaanza msako wako!
Tuwe watu wa tafakari na tuo... Dunia ina siri nyingi na kwamwe hatuwezi kuzijua zote... B1 ni chicken feed lakini ukiwapa nyenyere kundi zima ni msosi wa msimu mzima!
Good morning Tanzania
Hapo amtoa zaidi ya 1pc ya hela alizo nazo
Kweli lakini kwa utajiri wa Mo wote hilo dau ni ndogo sana. Japo hizo misifuri inastua kidogo[emoji16][emoji16]
[emoji15][emoji15][emoji115][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa jinsi nionavyo hili swala la kumtafuta MO litoke kuwa physically hadi Spiritually.
Dah Mshana Jr be careful, unaposema ndogo unamaanisha nini? Je wewe ni mtekaji unaleta ujumbe kuwa kwa hilo dau huwezi kumuachia? Au unamaanisha nini? Tunakuhitaji hapa jukwaani, usije ukatekwa na wewe na watekaji wakakutesa ili utaje wakachukue hilo dili, tena polisi wetu wa kibongo walivyo wanaweza kukuweka mateka ili ukitaja tu wao wanaibukaKwa wale wasiojua bilioni moja inaandikwaje au ina masifuri mangapi hii hapa... 1,000,000,000/=... Bilioni moja ina sifuri 9....!
Kwa pesa yetu ya kibongo (sipendi kuiita madafu) ni kukidharau cha kwangu mwenyewe hivyo ni kujidharau, bilioni moja si kiwango haba cha minoti ila ukija kubadili kwa dola haifiki dola laki nne na nusu(450,000$)... Kwa utajiri wa MO alionao hii tunaita kimombo... Chicken [emoji239] feed.... Yaani ni kidogo sana...! Kuku hawezi kumaliza punje 30 za mahindi... Akimaliza ujue atavimbiwa na kuvimbiwa...
Familia ya MO imetangaza rasmi donge nono la shilingi za kitanzania BILIONI MOJA kwa atakayefanikisha kupatikana kwa ndugu yao (pengine akiwa hai)
Familia imechukua uamuzi huo baada ya kujiridhisha kuwa dhumuni la kutekwa ndugu yao halikuwa kikomboleo(ransom) bali ni sababu nyinginezo.... Kama sababu ni kikomboleo tayari watekaji wangeshaongea kuwa wanataka bei gani! Na hili lingefanyika ndani ya saa 72! Jamaa huwa hawapendi kupoteza muda... Wanaweka dau mezani halafu muamie kunyoa ama kusuka!
Kwa kutangaza zawadi nono kama hiyo ni wazi na ni dhahiri sasa mambo ni magumu na wako tayari hata kupanda dau ili tu kumpata ndugu yao akiwa salama salimini... Pesa zinatafutwa lakini sio uhai..
Nimeona watu wengi wakiijadili B1, hiyo sio pesa ya mchezo na haipatani kirahisi kama kuokota mwekundu njiani.... Ni pesa ambayo kila mtu anatamani kuipata, lakini huu mnanda ni next level... Hii sio singeli.... Ni MNANDA!
Sio watu binafsi tu hata private investigations nyingi ndani na nje ya nchi zingependa kuchangamkia tenda.... Tusichokijua wengi ni kwamba tunaiwaza tu B1 na masifuri yake 9.... Lakini kuipata ni jambo la kwanza na maisha utakayoishi baada ya kuipata ni jambo jingine kabisa.... Unaweza kuipata leo na baada ya wiki tu tukaanza msako wako!
Tuwe watu wa tafakari na tuo... Dunia ina siri nyingi na kwamwe hatuwezi kuzijua zote... B1 ni chicken feed lakini ukiwapa nyenyere kundi zima ni msosi wa msimu mzima!
Good morning Tanzania
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mtu aliwahi kusema USD 1,000,000/= ni pesa ya mboga na hakutekwa... BTW nimeichukulia tahadhari yako kwa uzito unaostahili[emoji120][emoji120][emoji120]Dah Mshana Jr be careful, unaposema ndogo unamaanisha nini? Je wewe ni mtekaji unaleta ujumbe kuwa kwa hilo dau huwezi kumuachia? Au unamaanisha nini? Tunakuhitaji hapa jukwaani, usije ukatekwa na wewe na watekaji wakakutesa ili utaje wakachukue hilo dili, tena polisi wetu wa kibongo walivyo wanaweza kukuweka mateka ili ukitaja tu wao wanaibuka