Bilioni 300 zaibiwa kimafia Dar...

Wako busy na sheria ya uchaguzi na kuhakikisha hakuna mgombea huru kusimama kwenye uchaguzi ujao.Pengine pia na kuendelea na kudadisi wanywa pombe wanasema nini baada ya kulewa.

Mkuu umenifurahisha sana!!! Halafu wakishapata bia mbili tatu wanaaza kutema siri zote!!!! Halafu ni walevi wale kupindukia, sijui hata kazi za ufanisi wanafanyaje??? Ila kwa mihela hiyo, ni ulaji tosha!!! Watachunguza weeeeeee kama zile za makampuni ya EPA tisa ya EPA ambayo mpaka leo eti bado ni kitendawili!!! Watu wanakula posho tu za kuyatafuta??? Hivi ni kwa nini uendelee kupata hasara wakati unajua ni usanii?? Kuna ka ukweli kuwa mwenye feza huwa hashindiwi kesi!!
 
mabenki yetu yamekuwa na riba kubwa sana ndio maana wananchi wanafikiria kuziibia, itakuwa vyema kama waliozichukua hawatazitoa ndani ya tz
lakini mabenki nayo yafikirie jinsi gani ya kukabiliana na umaskini,
mabenki yetu hayatakuwa salama mpaka umaskini upungue
 
Tobaa! Wamekwishakwiba tena just few months before the general election kama walivyofanya kwenye EPA 2005!!! Kweli Bongo Tambarare! Mapapa wa mafisadi ni lazima watakuwa wamehusika hapa. Duuh! Mapesa mengi kweli $300 millions!!!!! Walikwiba $133 million 2005 sasa baada ya kuona Mkuu wa nchi anawaogopa wameamua kuongeza dau lao na kufikia $300 million!!!!! Haya ndiyo mambo ya Kilimo Kwanza in brackets isomeke Mafisadi Kwanza. Kweli CCM ni nambari ONE!:(
 
Wakati ule walisema "sio sisi ni waliotangulia kabla yetu" - leo watatuambia nini? Kama walishindwa kuwakamata "kuku wa kizungu" wataweza kufukuza "kuku wa kienyeji"?

Duuuu hhhh kama namuona vile JK akitabasamu na kucheka huku mambo yanaenda mrama.
 
Ngoja niende Igunga na Monduli bana,angalau niwe mpige debe huenda nami nikapata visenti,safari hii sichezi nje ya maguu kumi na mbili teh teh wapi mungwana ?
 
Ngoja niende Igunga na Monduli bana,angalau niwe mpige debe huenda nami nikapata visenti,safari hii sichezi nje ya maguu kumi na mbili teh teh wapi mungwana ?
 
Nowonder inflation iko juu.Ajira nyingi za vijana hapo zimeibiwa.Halafu gavana nae kwenye simu amekuwa kama George H. Bush alipoulizwa swali na mwandishi na kujibu hawezi sikia coz kelele ya helikopta ilimzingua.

Leo Gavana katoka na yake.

Tulikuwa na haja gani ya kuchukua mkopo wa nyumba from world bank?

kulikuwa na haja gani kuchukua msaada wa Gadaffi kutoka Libya ili kujengea nyumba wahanga wa mafuriko kilosa?

 
Ipo mijitu inafanya wizi kwa kupitia mtandao. Kuna kitu kinaitwa fraud kilifanyika sana nchi za Ulaya, North America.Kwa sasa hivi nchi za wenzetu wamefaulu kiasi fulani kuthibiti hii hali na baadhi wamekamatwa wanatumikia kifungo. Hawa wageni wasioleweka kutoka nchi za ajabu ajabu wanashirikiana na wabongo kufanya ujangili huu. hii kitu imeingia kwa kasi kubwa bongo ni vile serikali yetu imelala usingizi. Wapo watu wamefanya ujangili huo nchi za watu wamerudi hapa bongo wanaliendeleza kwa sana tu. Si ajabu wengine wanatafutwa wapo hapa bongo wanaliendeleza. Idara husika fanyeni kazi.
 
Nilitaka kuweka mambo sawa hapa lakini naona ni sawa na kujadili atakayefagia banda la kuku wakati hata kuku hawajanunuliwa.

BTW, Tanzania inter bank settlement system ni kwa malipo au transfer inayozidi millioni kumi za kitanzania na sio BILLION kumi kama alivyosema Mpita njia.
 
I guess there is misrepresentation of facts katika habari hii, kwa ambao tuko informed, ukisoma habari nzima utagundua mapungufu mengi. zaidi.

Mkuu itakuwa vizuri ukiweka hapa jamvini ukweli kuhusu habari hii kama ambavyo unavyoufahamu. Kumbuka hapa ni JF where we dare to talk openly.

Natanguliza shukrani.

Yours Truly.
 
oooops mi nimechoka kabisa! yaani nazidi amini Tiizii nizaidi ya niijuavyo
 
Ipo siku hela zote za serikali zitaibiwa na hao wajanja inchi ikakosa hela,naona wabongo wanakaribia kuwapiku wanaigeria na wasenegali kwa michoro
 
Back
Top Bottom