Bilioni 2 za Universal Zazuia kutoka video ya D'mond + Neyo, Rate of return yake ni ndogo

We ni timu fulan acha kuombea mabaya kwa wenzio ondoa hako karoho ka kwanini "soon video itaachiwa'
 
Mtoa post acha kuzusha habari na kutunga.
Ziara ya neyo ya UK ilihairishwa kutokanana kuingiliana kwa ratiba, mwezi ya 12 neyo alikuwa bize anashoot series mpya ya movies ya jennifar Lopez itakayo anza kuruka mwaka huu.

Boss, naomba kueleweshwa kidogo hapo kwenye red. Series ya movies ndiyo ikoje?
 
Mtoa post acha kuzusha habari na kutunga.
Ziara ya neyo ya UK ilihairishwa kutokanana kuingiliana kwa ratiba, mwezi ya 12 neyo alikuwa bize anashoot series mpya ya movies ya jennifar Lopez itakayo anza kuruka mwaka huu.
Ziara imepelekwa mwezi 3 na 4 ndio maana diamond akaghairi kutoa video ya wimbo huo
Universal music group hawana mamlaka yoyote kuchagua link diamond atoe videos wao kazi yao in kusambaza tu tena sio kazi za diamond peke yake in kazi za WCB wote.
Video ya marry me itatoka muda so mrefu.
Kampuni ilishoot video hiyo in ya Kevin hart , diamond kuna vipande kwenye video hiyo anataka kuvitoa kwasababu ya maadili ya kiafrica na kuweka vipande vipya hapo ndo kulikuwa na mvutano na wamesharekebisha.
Bilioni 2 haziusiani kabisa na wimbo diamond ft neyo.
Na kwa mujibu wamakubaliano universal hawana nguvu kumzuia diamond kutoa kazi yoyote
Samahani.

Ukiacha Diamond mwenyewe kusema kuwa alilipwa bilioni 2 Na Universal alafu akalipa kodi milioni 35 je kuna ushahidi mwingine wowote kuwa kweli jamaa alilipwa hela Hiyo?

Maana wote tunajua kuwa jamaa wako ni hodari wa kuongeza sifuri Na kujisifu kwa habari za uongo uongo.
 
Samahani.

Ukiacha Diamond mwenyewe kusema kuwa alilipwa bilioni 2 Na Universal alafu akalipa kodi milioni 35 je kuna ushahidi mwingine wowote kuwa kweli jamaa alilipwa hela Hiyo?

Maana wote tunajua kuwa jamaa wako ni hodari wa kuongeza sifuri Na kujisifu kwa habari za uongo uongo.
Ata me pía hapa naona waliongeza sifuri bilin mbili kodi mil 35 uongoz wa mag
 
Kuna kitu hakijakaa vizuri na ujumbe wako meimbo eti ukitoka itunes, lini hiyo?

Hivi mnaandika mnafikiri mwimbo ukitoka huko waliouimba hawatajua nakuutangaza?

Inasikitisha muhabari mrefu hata kumaliza nimeshindwa, sababu mengi naona hayana umaana na ya ulimwengu huu.
 
Hahah wazee wa Vijisababu...!Vp ile Royce Rolls ya domo imeshafika dar?
 
Kupenda sio kuzuri habari nzuri za domo km kununua Royce full shangwe na vigeregere humu tena hakuna anayejua km kweli au uongo lkn zitapokelewa na kupewa ukweli 100% lkn sasa zije habari za mambo ya domo kwenda mrama zitapingwa hata kwa upanga,pole kaka mkubwa ila mashabiki zako ni so funnyyyyyyy wanadhani wewe Mungu mtu no majanga,challenge ndo chachu ya mafanikio lazma domo utapata jambo la kujifunza kupitia hili
 
Habari za kusikitisha kutoka chini ya uvungu huko huko WCB zasema, ule mkosi wa kusainishwa international uliomkumba Davido mpaka kupelekea kumfukuza Meneja wake, unanukia nukia WCB.

Kwa habari zisizo rasmi, zinasema Universal music wamezuia kutoka kwa video ya wimbo wa diamond ambao ulipaswa kutoka October 2016 tarehe 26, ambapo ungeambatana na show ya diamond kumsindikiza neyo UK,

akini show yenyewe ilifutwa na kutupiliwa mbali na universal music ambao ndo walikuwa wanaisimamia, tatizo kubwa ni faida ndogo sana wanayopata hao universal ambayo hailingani hata kidogo na Bilioni mbili waliyotoa kwa WCB,

Usambazaji wa nyimbo za diamond ikiwemo aliyomshirikisha neyo haujaleta matokeo mazuri kwao universal, kwani wametumia pesa nyingi sana lakini mauzo hayaridhishi. Pia kufuatia kuvuja kwa wimbo wa diamond ft neyo ambapo Universal walikuwa washauingiza itune umeharibu mauzo ya hiyo nyimbo itune, ambapo habari za chini zinasema mpaka sasa hiyo nyimbo imenunuliwa mara 8000 tu huko itune.

Diamond yeye anataka kuitoa video na neyo , lakini Upande wa Universal umezuia usitoke, kwa maana wahisi hasara zaidi kwa upande wao. Watu wamekuwa wakitengeneza video feki za wimbo huo na kuzipost you tube ilimradi tu iwaongezee Subscriber,

Mziki wa international mgumu, angalia Ali kiba, angalia davido stress mpaka kafukuza meneja, diamond nae anapoelekea anaweza hata fukuza kina tale na salamu.

Kwa sasa hakuna mtu yeyote ambaye anajua hiyo video itatoka lini, hata diamond mwenyewe hajui. Tumuombee diamond mana hizo bilioni mbili keshazitumia ikiwemo kununua nyumba sauzi
Salome wame wameto univeso?kama Nassib amelamba B2,hawezi kupata presha chake kimeshaingia,Nassib usimfananishe na watu wazembe kama Ali kiba,show Dodoma tu inavurugika,Nassib anapiga show AFCON ,Kiba size yake ni Babu Ayubu
 
Back
Top Bottom