Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

vijana wachache sana ukilinganisha wa watu wanaoangamia kwa kukosa nguvu za kiume kwa kula kuku wa kisasa[sitaji kampuni], kwa kula ice cream,[sitaji kampuni], viriba tumbo kwa kula tambi za yule tajiri namba moja tanganyika,.kwa kukosa hamu ya tendo kutokana na wanawake wacheza muziki kukaa uchi hivyo libido za kiume kushuka , etc.

Vijana wangapi wanaangamia kwa ukimwi kwa kumuiga diamond kupiga kila demu anayekata kiuno kwenye shoo zake? umewahi kukemea hilo ama Diamond ni rol mode wa dada zako?

Kupanga ni kuchagua, dont drink and drive na bado kuna parking baa , hizo parking ni za magari ya wanywa juisi?​
Dah kuhusu daimond naona ni kweli maana kila mda naona ana nuka mik*ma k*ma tu
 
vijana wachache sana ukilinganisha wa watu wanaoangamia kwa kukosa nguvu za kiume kwa kula kuku wa kisasa[sitaji kampuni], kwa kula ice cream,[sitaji kampuni], viriba tumbo kwa kula tambi za yule tajiri namba moja tanganyika,.kwa kukosa hamu ya tendo kutokana na wanawake wacheza muziki kukaa uchi hivyo libido za kiume kushuka , etc.

Vijana wangapi wanaangamia kwa ukimwi kwa kumuiga diamond kupiga kila demu anayekata kiuno kwenye shoo zake? umewahi kukemea hilo ama Diamond ni rol mode wa dada zako?

Kupanga ni kuchagua, dont drink and drive na bado kuna parking baa , hizo parking ni za magari ya wanywa juisi?​
Safi hoja kwa hoja ,Jino kwa Jino

Umemjibu barabaraaa kabisaaa

Kafie mbalii Huyuu kapurwaaa

Eti vijana wangapi wanaangamia

Ongeleaa upande mwingine si huku tuuu.

Maisha ni kuchagua ,Kupanga ni kuchagua
 
Wilfred Tarimo siyo jina geni kwa watu wa kaskazini hasa kutokana na baba yao mzazi mzee Lucas Tarimo kuwa na utajiri kumkaribia Reginald Mengi.

Mtoto wake aitwaye Wilfred ambaye sasa ni mmiliki wa Snow Crest lakini pia kampuni ya Dereck Inc Co limited na wanawe na mkewe kwa pamoja yaani WILFRED LUCAS TARIMO, DEDRICK WILFRED TARIMO, DOREEN WILFRED TARIMO , MRS. IRENE WILFRED TARIMO leo amepewa tuzo ya mlipakodi mkubwa moani kilimananjaro, ikumbukwe mwanaye aitwaye Doreen kwenye send off alipewa gari mbili zote zero kilometre, land cruiser milioni 450 na rav 4 ya milioni 150 pamoja na ghorofa shanty town ya thamani ya Tsh. 1.9 Bilioni.

Hizo tuzo wanapewa wengi...bonite,tpc,serengeti brew,harsho yeye muuza pombe ya buku awazidi ulipaji kodi...snowcrest sio mali yake alishindwa kulipa mkopo ikauzwa mda mrefu tu
 
Kuna mjukuu wangu mmoja aliwahi niuliza kwa nini sipendi kuvaa "jezi" za timu zangu pendwa!!!??
Nikamwambia akipata jezi ambayo haina lebo/tangazo ya mdhamini aninunulie nami nitavaa hata kanisani.
Akaniuliza kwa nini sivai zenye matangazo,nami nikamjibu ni kwa sababu ya kuwa nikivaa nitakuwa nawatangazia biashara yao/zao bila mimi kulipwa wakati mimi kama mimi ni "brand", natakiwa kulipwa kwa kila "brand" ninayoitangaza.

Tangu hapo ameacha kuwehuka na "selfie" za vitu anavyotumia.
Au ameingia mkataba na kampuni hiyo ya kofia, maana kama sivyo basi atakuwa amewapaisha bila malipo yoyote, fala sana
 
Angalia current status , wachaga walikuwa Mengi na shirima na wameshakufa...Huyo still hana jipya wa kawaida sana .

Hata taasisi yetu ilishachukua mwajiri mzuri na mtunza mahesabu mazuri ila mishahara tunajua wenyewe.

View attachment 2833426
Umeanza utopolo Wako,vipi UNAMJUA mmiliki WA Eckenford Tanga university?
Umamjua mmiliki WA mabus ya KLM,Lim,machame, BM, Happy national ni kina Nani?
Umajua mahotel Arusha Karibu 80% ni ya kina Nani?
 
Back
Top Bottom