Bilionea wa Kiafrika anatarajia kujenga AI data centre ya kwanza barani Afrika

Bilionea wa Kiafrika anatarajia kujenga AI data centre ya kwanza barani Afrika

Nunua Toka UK

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
303
Reaction score
587
IMG_0253.jpeg

Bilionea wa Zimbabwe Strive Masiyiwa anayemiliki Cassava Technologies ametangaza kushirikiana na Nvidia kujenga data centre ya kwanza barani Afrika.
Cassava Technologies inapanga kutumia teknolojia ya kisasa ya AI ya Nvidia ifikapo Juni 2025 nchini Afrika Kusini.
Pia wamepanga kujenga data centres nyingine Misri, Kenya, Morocco, na Nigeria.

Soma zaidi hapa: https://businesstech.co.za/news/tec...-a-first-of-its-kind-factory-in-south-africa/
 
Back
Top Bottom