Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Kwa vigezo hivyo inawezekana na mimi ni bilionea nisiyejijua!
aaah bana unajijua usituvunge, mgao wa epa na marupurupu yaliyosundwa uswisi hujaambulia walao vijisenti kama vya white na mapenzi na uaminifu wote ulionao kwa chama! that's not possible