hahahahah...watafuua labda walinde sana
Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
Sasa siku ya kufufuka milango ya Hammer itafunguliwaje ndani ya udongo iliaweze kutoka.