Bilionea azikwa na hammer lake kaburini

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.

KIGO.jpg


KIGOGO.jpg
 
Me nilidhani ni bilionea AnnaTibaijuka amekufa kwa mshtuko!!
 
ngoja watoto wa mbw... wataenda kulifukua hilo kaburi..wachukue hammer hiyo
ktk miaka ya 90 huko mwananyamala jamaa walimzika baharia na macheni ya dhahabu na suti ahh uusiku masela walimfukuaaa wakalaaamba kila kitu.....usicheze na watu
 
Kuna wishes nyingine za marehemu watarajiwa kusema kweli hazitekelezeki lol..
 
Tena hata hilo hammar halitachinjwa! Litatoka na moto wake kwa heshima zote. Break ya kwanza ka wash kwa kido
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom