bili kiboko

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
Jamaa kapokea bill ya maji ya
mwezi dec 2011, milioni 3
akaamua kuwapigia simu
DAWASCO: Haloo, naona na bill ya
yale mafuriko nimeletewa mie.
 
Na kweli maana si kawaida au siku hizi wanapitisha mabomba yao kwenye nguzo nini?
 
jamaa wa dawasco alikwenda kwa b mkora kudai bili ya maji mambo yakawa kama ifuatavyo:
MTOTO: mama kuna baba yupo hapo nje ameleta bili ya maji
BI MKORA: mwambie kama hiyo bili ni maji ya mvua anisubiri nakuja kwa sababu jana ilinyesha LAKINIIIIIII
kama ni ya maji ya dawasco muulize kama amevaa element.............
HE jamaa kusikia vileee mdogo mdogo kama sio yy
 
Back
Top Bottom