Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,799
- 22,131
25 May kutakuwa na furaha zaidi katika kipindi chote cha kuipenda simba.GOoooooodmorning wana Lunyasiiiiiii popote pale mlipo Africa mashariki na kati...na kaskazini na kusini...
Wana fainali tunasema hivii hatujamalizaaaa
Mkichukua kombe mniite mbwaGOoooooodmorning wana Lunyasiiiiiii popote pale mlipo Africa mashariki na kati...na kaskazini na kusini...
Wana fainali tunasema hivii hatujamalizaaaa
Vice versa is true25 May kutakuwa na furaha zaidi katika kipindi chote cha kuipenda simba.
Wewe ni mbwa toka kuzaliwa....
Amina aminaaa..25 May kutakuwa na furaha zaidi katika kipindi chote cha kuipenda simba.
Hapana mkuu Mimi ni mchambuzi..Wewe ni mbwa toka kuzaliwa....
Sasa si umesema nikuite mbwa jamaniiiii...pole mtaniHapana mkuu Mimi ni mchambuzi..
Mara paaap utakuta mm ndo mmeo .....mind u humu tunatumia fake id
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tatizo umejichagulia jina unalolipenda na unaloona linakufaa, sema simba wakichukua kombe watu wakuite majina yoyote watakayotaka wao, na msimu huu simba wanabeba makombe yote wanayoshiriki mpende msipende
Mkichukua kombe [emoji23][emoji23]Sasa si umesema nikuite mbwa jamaniiiii...pole mtani
Napo sawa mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo umejichagulia jina unalolipenda na unaloona linakufaa, sema simba wakichukua kombe watu wakuite majina yoyote watakayotaka wao, na msimu huu simba wanabeba makombe yote wanayoshiriki mpende msipende
Mi naanza leo...mpk tuchukue kombe utakua umeshazoeq
What hamtachukua....unaniahidi Nini ...in return [emoji23]Mi naanza leo...mpk tuchukue kombe utakua umeshazoeq
namaanisha daima mbele mwiko nyuma
Huku kote ni kuchanganyikiwa tu. Kazi ipo kwakweli .Hadi hii michuano ije iishe mtakuwa mmeshaokota makopo.Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...[emoji23][emoji23]
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence
All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu[emoji23]...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu...hizi ni factsHuku kote ni kuchanganyikiwa tu. Kazi ipo kwakweli .Hadi hii michuano ije iishe mtakuwa mmeshaokota makopo.
UBAYA UBWELA ni hatari kwa afya za utopolo.
Mi sinaga mi ahadi ahadi babaaWhat hamtachukua....unaniahidi Nini ...in return [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Omba ban
Basi subiri ....siku ya fainali[emoji23][emoji23]Mi sinaga mi ahadi ahadi babaa