Salaam Wana JF
Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.
Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.
Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.
NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?
Nakala waione;
Mshana Jr
Erythrocyte
Ukienda mtaani ndipo utaelewa jinsi CCM inavyopendwaKwanza fahamu CCM sio Algorithm ya kuendesha Nchi, bali ni kikundi cha watu wenye kutaka uongozi. Tanzania ina idadi ya watu wengi sana ambao wanaweza kuongoza nchi vizuri kuliko hata hao CCM endapo wakipewa nafasi
Nchi kama Zambia na nyinginezo za kusini mwa Afrika zimeendelea vizuri tu bila vyama vyao vilivyosaidia kupata uhuru...wewe kwa akili zako zote inahisi Tanzania ya watu milioni 60, viongozi wazuri wapo CCM tu? Semq tu ni kwamba manaiba kura na kufinya demokrasia, bila hivyo CCM ingekuwa ishatoka madarakani kitambo
Kivpi mkuuUna maana huu ni mwendelezo ule ule wa kujitoa ufahamu?
Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu
Nabii Tito alishacha ule mchezo wenu mbaya wewe utacha lini,mtoto wa kiume huna tofauti na ShiloleSalaam Wana JF
Nilikuwa nasafiri kuelekea mkoa fulani hivi, kwakweli kama nchi tumejitahidi kufanya Maendeleo, kila baada ya umbali kadhaa unaona miradi ya Barabara inaendelea. Kuelekea nchi ya ahadi japo kuna watu wanaponda juhudi za serikali lazima tujue kuwa hata Roma haikujengwa kwa siku moja, development is a process.
Ukija kwenye suala la amani serikali chini ya mwamvuli wa CCM imejitahidi kujenga misingi ya undugu kwakuwa hakuna ukabila wala aina zozote za kubaguana. Kwa hili CCM wanahitaji pongezi kubwa japokuwa kuna changamoto kubwa kutoka kwa watu mbali mbali.
Tukubali tu kuwa vyama vya upinzani bado sana kupata ukomavu wa kuongoza nchi hii sababu wana siasa za vurugu, hakuna democracy with themselves + siasa za kugawa nchi. Yote kwa yote CCM tuwape maua yao.
NB: Kama kusingekuwa na CCM basi nchi ingekuwa kama Somali, Sudan, CAR etc. Je, kama Mtanzania unaonaje hili?
Nakala waione;
Mshana Jr
Erythrocyte
Ukienda mtaani ndipo utaelewa jinsi CCM inavyopendwa
Likija jitu la cm likaandika logic hapa nitag mkuu, haya majitu kichwani hamna kituUna maana huu ni mwendelezo ule ule wa kujitoa ufahamu?
Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu
Kivpi mkuu
Mimi mwenyewe niko mtaani, au mitaa gani unayoizungumzia weweUkienda mtaani ndipo utaelewa jinsi CCM inavyopendwa
Likija jitu la cm likaandika logic hapa nitag mkuu, haya majitu kichwani hamna kitu