tandabui2021
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 3,120
- 5,377
Arvs Huwa zinapynguza viral load hivyo kupunguza uwezekano wa mwathirika kueneza vvu Kwa urahisi Kwa wengine,hata kama tukiacha matumizi ya arvs ukimwi hautakwisha Kwa kuwa wapo na HIV lakini hawaonyeshi dalili yoyote ya kuumwa Wala kufa mapema,watu kama Hawa ni wachache lakini hawaathiriwi na huo ugonjwawakuu narudia tena kama arv zisingekuwepo basi huu ukimwi ungeisha wenyewe.
Kwavipi?
Wale waliokwishaupata wangeenda mbele ya haki ila baada ya apo kungekuwa na tahadhari ya kufa mtu kwa hao ambao wangebaki.
Hivo ndio akili ya binadam ilivyo. akiona hatari mbele yake basi na tahadhari inakuwa kubwa.
Hiyo ingemaanisha maambukizi yangekuwa machache sana au hata yangeisha kabisa.
Leo hii maambukizi bado yapo kwa sababu watu hawamuoni huyo mgonjwa anayeumwa na ndomaana hawauogopi tena ukimwi matokeo yake wanaishia kuupata.