kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,307
- 12,604
Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria