welll, jamaa kajitahidi ona ila kuna kitu hajaona vizuri.Huwa kuna staili ya kuongoza n akukaripia watu muhimu. Yaani wanaongea watu nini cha kufanya na jinsi gani ya kueliminate damage.
Mfano. una jamaa lets say mhasibu mkuu ambaye kashikilia doc muhimu za kampuni na kaifanya office kama yake(halafu ana arrogance na irresponsible kama mtaka urais,yaani yupo tayari blackmail kila mtu ), huwa uongozi huandaa mtu mmoja wa kufikisha ujembe sahihi kwa upana sahihi.Baada ya hapo basi Kiongozi wa juu huja na kauli bogus ya kuwa pande ya aliyepewa ujumbe huku kijenga misingi ya kutomwondoa msemaji/mtendaji kwa kuleta suluhu zaidi(kumpa confort zote ya kuikubali hiyo hali).Kwa mtu mwenye akili akiambiwa mbele ya bosi wake na mtu kuwa aache tembea na mke wa bosi wake, boss aseme hakuna mtu anayeweza tembea na mkewe, halafu akaongeza ila siku mtu akikutwa basi kifo kitakuwa naye.Huyo mzizi atajitetea msemaji ni kichaa ila atajua kuwa suala lake si siri sana na kunfikia bosi ni rahisi na hatari yake ni wazi kabisa.
Kuna sehemu niliwasem aushindi wa ccm kuhusu malawi, kwali aliyesema kusuru utayari wa jeshi, tukibanwa anaweza appologize aua hata kuambiwa si msimamo wa nchi, ila kwa wamalawi wanaujua kuwa habari si mzuri.
Hizo ni njia za kufikisha ujumbe kwa kuwafanya waliopo gizani wachukulie serious wakijua kuwa kuna viherehere wanaweza haribu upepo.Kweli tunajua kuwa matandao unaweza kuwa umezidiwa ila pia huwezi jua kuwa kisingizio hichoo hicho kinaweza tumika kupunguza kasi.Vodacom walikuwa na matatizo ya mawasilino kwa siku mbili mfululizo, hat simu za kawaida hazikuwa zikienda, huwezi jua walianza mapema ili siku ya siku wawe na cha kujitetea.Ila Lema ni mtu sahihi wa kuufikisha huo ujumbe, na wanamjua kuwa ni mhamasishaji mkubwa, na huwa acheleweshi.Ila mbowe aka neutralize .Ujumbe umefika,tena kwa vitisho huku chama kikinyenyekea kuwa bila voda M4C itayumba.Ukweli ni kwamba voda nao wanahitaji kujenga mahusiano kupitia watu wasionekana kuwa karibu na CCM kwani kibao kikigeuka basi wasiangamie,ingawa nao wana wana ccm katika umiliki wao.
Alichosema Nassari kiliwatisha CCM na ujinga wao wa kusingizia watu kuwa ni wakanda huku wakidhulumi na kubagua baadhi ya kanda kwa kila kitu(kuanzia rasilimali, utawala wa nchi etc), so kauli ya Nassari ni kuwaonyesh akuwa ikibidi kuwa na kanda pia ianweza fanyika vizuri zaidi na kupata ukanda wenye mazingira mazuri geographically na economically.
Kuanzia hapo CCM kam wana akili watajua kuwa alichoongea Nassari hata kama hakikuwa official ni wazi kuwa siasa za maji chafu za CCM za kutumia udini na ukanda, watu wanawez abadili kuwa suggestion pia.
So Lema ahjakosea, Mbowe hajakosea, na mitandao haijakosea ila Check and balance imefanyika.Ila ni wazi wameona kuwa visingizio ama kujificha nyuma ya fact huku wakiwa na nia ovu si salama.By the way na wao pia wanapata hela kwa yanayotokea, na Tanesco kama wahajui kuwa atumizi ya umeme siku hiyo ni hela, na kuzima umeme siku hiyo na saa hiyo hakuna wanachosave au mmbadala wa customer