Bila Mbowe CHADEMA kwisha...

manuu ongeza na hii
wm pinda aliwahi kuzungumza bungeni kwamba watanzania ni wavivu sana ndio maana makampuni yanaajiri wageni kwa sababu mara nyingi mtu haendi kazini ....sababu kafiwa
sasa mbona hamwambii bosi wake apunguze safari za misiba? maana na yeye hakai kazini anahudhuria misiba
 
Acha kukalili,bila kikwete ccm na wabunge wake wasingetoboa 2005 na bila kuchakachua hata JK asingepenya 2010.
Mbowe anajua kuzalisha makamanda kila siku, nendeni majimboni mtaona majembe mengine. wanaolopoka ni akina mwigulu,lusinde,wasira,na wakati huo makamba na nduguye mwanapropaganda
 
Acha kukalili,bila kikwete ccm na wabunge wake wasingetoboa 2005 na bila kuchakachua hata JK asingepenya 2010.
Mbowe anajua kuzalisha makamanda kila siku, nendeni majimboni mtaona majembe mengine. wanaolopoka ni akina mwigulu,lusinde,wasira,na wakati huo makamba na nduguye mwanapropaganda

KUKALILI na WANOLOPOKA ndio kiswahili gani? Weee utakuwa Mnyasa wewe
 
Hiyo kauli hata Mimi haikunifurahisha ila nilijua kamanda wa anga atairekebisha na ndivyo alivyofanya. Ila utambue kuwa lema ni binadam kukosea ni kawaida ukizingatia umri na uzoefu wa kisiasa aliokuwa nao lema ni tofauti na Mbowe. Pia kuchimba mkwara ni kitu cha kawaida kwani hujui makamba ana hisa vodacom? Hivyo basi lema kwa side (A) yuko sawa kuwaonya na kwa side (B) kakosea
 
ninacho ikubali CDM is that chama hichi kina watu wakila aina, watu wana diplomasia, kama Mnyika, wanaharakati na wenye misimamo mikali kama Lema, washauri kama Dr Silaa, wachumi kama Zito, list ni ndefu...................
 
unafikiri lema alifanya bila consent ya mbowe?don't think so,.this is how politics operates,watafute wenye ujasiri wa kuongea,message inafika then ikanushe au ipake polish.Mbowe knows better kuwa ccm ina mikono kila mahali kwenye nchi hii,wana uwezo wa kuhujumu kupitia kila taasisi especially haya makampuni ya simu yanayotunyonya kwa msaada wa magamba,..na umeme kukatika jana mbona huliongelei kuwa haikuwa hujuma,.nassary alichana na mimi nilimuunga mkono sababu hata sehemu ninayoishi umeme ulikatika na baada ya dakika kumi ukawaka,possibly baada ya nassary kuwabwatukia..kuiondoa ccm madarakani wanahitajika watu wanaotumia busara nyingi kama mbowe na slaa na pia waropokaji kama halima mdee,lema,nassary na sugu...
 
Mbowe anbusara zaidi ya sana kibongo bongo kumruhusu Dr slaa kugombea 2010 kwangu ilikuwa ni zaidi ya busara
haya mengine ni ushahidi wa lile
 
Ukiwa kiongozi inabidi uwe na busara,lema kama bin adamu aliteleza lkn baadaye kama ulimsikiliza alifuta kauli na kusema kama alivyosema mbowe,of course kauli inaweza ikajenga na kubomoa nakubaliana na wewe! Alikosea lkn alijilekebisha palepale na huo ndio uongozi,bigup lema!
 
Naomba tuache ushabiki,unafiki,na siasa zisikuwa na msingi...! siku zote penye ukweli uongo unajitenga pembeni, na siku zote mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...!

Ni jambo lilokuwa wazi, mwenye macho mwenyewe anaona,...bila juhudi,uvumilivu na utashi wa Mh.Freeman Aikael Mbowe pamoja na kushirikiana vizuri na makamanda wengine! CHADEMA leo kingekuwa sawa na CUF,TLP,NCCR MAGEUZI na hata kisingekuwa na mbunge hata mmoja kama SAU,APPT,TADEA,MAKINI..kutokana na Nguvu kubwa ya chama tawala CCM..,Ambacho kimekuwa kikitumia kila iana ya silaha kushambuliwa upinzani kama kununua baadhi ya viongozi wakuu katika vyama vya upinzani,kutumia nguvu ya dola (polisi,makachero),kutumia sera za udini na ukabila kuvishambulia vyama vya upinzani..!

Napenda nikupongeze na kukutia moyo mh.Mbowe ingawa kuna baadhi wanaongea sana na kukukwaza lkn najua ushawafahamu na ni mbinu siku zote inayotumiwa na CCM kuvuruga upinzani ikiwamo kuunda makundi ama kununua baadhi yenu kuwadhoofisha ama kuwagombanisha na ni mara kwa mara baadhi ya wabunge wenu waliwahi kuwasiliti ama kununuliwa ama kushawishika..,lakini kwa umoja,ushirikiano wa chama..,naona uongozi wako bdao upo makini kudhibiti sumu zote za CCM..!

Wengi wanasema CHADEMA ni chama cha wachaga...,hivi mjiulize mwaka 2005 Kikwete kwenye kampeni za uraisi alifanya harambee moshi mjini na kukusanya zaidi ya Mil.200 kwaajili ya kurudisha jimbo la moshi mjini CCM,..hivi waliochangia hizo pesa walitoka wapi..? na wajikumbushe tena miaka ya 2000 na 2005 chama cha CUF kilikuwa na nguvu kubwa ya Upinzani zikaendeshwa propaganda kwamba CUF ni chama cha Kiislamu na hao hao CCM..,sasa hv CHADEMA kina nguvu wameanza kukiita chama cha kikristo..,hizo ni siasa majitaka..!

Mh.Freeman Mbowe ndio alikuwa mtu wa kwanza kuasisi uvaaji wa kombati,matumizi ya teknolojia katika kampeni kama ya helikopta,alikuwa akifinance chama kipindi chama kilikuwa kikipata ruzuku kiduchu kutokana na idadi ya wabunge kuwa ndogo, alimpiga tafu sana Dk.Slaa kipindi cha 2005 kwenye ubunge ambako alifanyiwa mizengwe ya ajabu...,na pia ndiye alikuwa ni mmoja ya washawishi wakubwa kumshauri dk.slaa agombee uraisi..,na pia aliwalea vizuri watu kama john mnyika,halima mdee,nasari na kuwapa fursa wataalamu kutoa ushari kama tundu lissu,prof.baregu,kitila mkumbo na n.k, nani halijui hilo..,na hata mh.zitto kabwe aliwahi kukiri mbowe ndio alikuwa akimsaidi kipindi akisoma chuo kikuu

Tatizo watz ni wavivu sana wa kusoma historia,...viatu vya uenyekiti vimemkaa vizuri sana mh.mbowe...,bila yy sidhani kama chadema kingepiga hatua kubwa kama sasa hv akisadiana vizuri na mzee mtei na mh.ndesamburo
 
naunga mkono hoja, ila bado anasafari ndefu na sote tuelewe kuwa bado demokrasia ndio itapaswa kuchukua nafasi ktk maamuzi yote ya chama chochote.
Natahadharisha Asije akabebwa mtu kwakuwa kakitumikia sana chama au akaonewa kwakuwa sio mwanachama wa siku nyingi.
Waachwe wanachama waamue hiyo ndio demokrasia ya kweli.
 
naunga mkono hoja, ila bado anasafari ndefu na sote tuelewe kuwa bado demokrasia ndio itapaswa kuchukua nafasi ktk maamuzi yote ya chama chochote.
Natahadharisha Asije akabebwa mtu kwakuwa kakitumikia sana chama au akaonewa kwakuwa sio mwanachama wa siku nyingi.
Waachwe wanachama waamue hiyo ndio demokrasia ya kweli.
..
Nanusanusa harufu ya udi wa uchonganishi hapa..!!
 
Swadakta!!!! Ila me naomba sana CHADEMA izidi kua karibu na wananchi hata hapo itakapochukua Madaraka,Ili wananchi wawe wanatoa ushauri,Maoni na kuhoji endapo Mapungufu yatokeapo.
 
Hata mimi naona kuna harufu ya uchonganifu ili watu wengine wajione wanafaa na wengine hawafai hii ni mbinu chafu toka Magamba maana wao wana mambo kama hayo,hoja hii ni DHAIFU na haifai hatuko hapa kujua bila huyu kusingekuwa....... let us stand together and walk.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom