Bila lori jagwani nisingeenda

Bila lori jagwani nisingeenda

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Jana ilikuwa kabla ya kupanda kwenye gari unakabidhiwa
Tshirt
10,000
Alafu na kuambia dayamond,wema sepetu,watakuwepo
 
Magamba yanazidi kugambika huku wasijue nini cha kufanya
Huruma sana.
 
na magari yao yakakwama kwenye mchanga mpaka jioni hii walikuwa wanahaha kuyakwamua
Jana ilikuwa kabla ya kupanda kwenye gari unakabidhiwa
Tshirt
10,000
Alafu na kuambia dayamond,wema sepetu,watakuwepo
 
attachment.php


CCM Mafuriko Jangwani haaa haaaa.
 
Hahahaaaaa CCM wana kazi mwaka huu!
 
Lowasa asingekuwa anatetemeka nisingeenda kumwangalia cku anachukua fomu maana babu yangu anaumwa kama lowasa lkn ma dr wanasema tiba iko Nairobi tuu, nashangaa hata lowasa nae hawezi kwenda ni maajabu kwangu jamani
 
Back
Top Bottom