Bila living certificate siingizwi kwenye payrol

Bila living certificate siingizwi kwenye payrol

lucz

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
218
Reaction score
41
Habari zenu wana JF, nimeenda kuripoti kwenye kituo cha kazi ijumaa iliyopita. Hiyo kazi nimeipata kupitia Utumishi. Huyo Afisa utumishi anataka leaving certificate ya A level na O level.

Kasema sitaingizwa kwenye payroll bila hizo leaving certificate. Mimi nimesahau nilipoweka.

Je nikienda Secondary nilizosoma watanisaidia?

Ushauri wako mhimu sana nashukuru.
 
kwanza upost jukwaa la mahaba huku hatuwazi kazi ni mahaba tu pili .....matokeo hujapata mpaka utumie living certificate...?
 
Jaribu kwenda shule ulizo soma wanaweza kukusaidia coz leaving huwa zinatolewa shuleni.
 
kwanza upost jukwaa la mahaba huku hatuwazi kazi ni mahaba tu pili .....matokeo hujapata mpaka utumie living certificate...?

Vyeti original ninavyo na nimemuonyesha ila anataka hiyo leaving certificate
 
Huyo jamaa anakisirani tu huyo. Watu tumeingia serikalini hatuna hata cheti tuna transcript tu sembuse hio leaving. Me cjawahi itumia hio kitu cjui hata nmeiweka wapi. Jaribu kumweka sawa.
 
Huyo jamaa anakisirani tu huyo. Watu tumeingia serikalini hatuna hata cheti tuna transcript tu sembuse hio leaving. Me cjawahi itumia hio kitu cjui hata nmeiweka wapi. Jaribu kumweka sawa.

Thanks na ajira zenyewe zilivyongumu kuzipata.
 
yani na kumuonyesha vyeti original bado anataka leaving, what for? vyote vinatumika kuonyesha kua ni kweli ulimaliza, sema ni wewe ila ingekua mimi tyr hiyo kazi ningemwaga chini au ningempiku aniachie niendeshe kampuni maana i cant work under such an ignorant guy...
 
Jitahd uvipate hawana masihara mim mwenyew yalinikuta ayo nimexota miez mitatu bila mshahara kisa ckuwa na transcript nlikuwa na provissional results mpaka nlpopeleka ndo nimeingia kwenye payroll mwez huu
 
Thanks nitajitahidi nipate.
 
Habari zenu wana Jf. Nimeenda kuripoti kwenye kituo cha kazi ijumaa iliyopita. Hiyo kazi nimeipata kupitia Utumishi.Huyo Afisa utumishi anataka leaving certificate ya A level na O level. Kasema sitaingizwa kwenye payroll bila hizo leaving certificate. Mimi nimesahau nilipoweka. Je nikienda Secondary nilizosoma watanisaidia. Ushauri wako mhimu sana nashukuru.

maafisa utumishi wengine huwa wasumbufu sana..........

kuingia kwenye payroll haihitaji leaving certificate.....
 
Anataka hela huyo! Leaving nani anahifadhi! Wengi wamepoteza! Mpe 20000 uone atakavyochakarika
 
Tuache kuficha maneno, huyo anataka mapenzi tu kutoka kwako..........
 
Mimi sina ya darasa la saba. Za sekondari nazo sina hakika nazo sana uzuri nina scanned originals. Sikuwahi kuulizwa ni present leaving certificate.
 
Back
Top Bottom