geek jo
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 1,134
- 1,145
Vyeti original ninavyo na nimemuonyesha ila anataka hiyo leaving certificate
Mmmh leaving haiusiani kabisa na kuingizwa kweny paylo.. Huyo analake jambo tuu... Wewe si bintiii
Vyeti original ninavyo na nimemuonyesha ila anataka hiyo leaving certificate
Habari zenu wana Jf. Nimeenda kuripoti kwenye kituo cha kazi ijumaa iliyopita. Hiyo kazi nimeipata kupitia Utumishi.Huyo Afisa utumishi anataka leaving certificate ya A level na O level. Kasema sitaingizwa kwenye payroll bila hizo leaving certificate. Mimi nimesahau nilipoweka. Je nikienda Secondary nilizosoma watanisaidia. Ushauri wako mhimu sana nashukuru.
Tuache kuficha maneno, huyo anataka mapenzi tu kutoka kwako..........
Vyeti original ninavyo na nimemuonyesha ila anataka hiyo leaving certificate