Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

Wabunge wa Cccm wanasuburia kupiga Mayowee Ya NDIYOOOOOOO!!!!!
 
Washajiandaa kwa ndio hawana la kuchangia
 
hivi wewe unaweza kumkosoa lisu wewe?lisu kasema sheria imetafsiri child ponograph,na sio ponografia chafu etc.kaa mbali na lisu humuwezi.

Kiongozi wasomi wote wa ccm wamejitoa akili kina watembea peku
 
Kibaya zaidi wingi wa wabunge wa ccm ndiyo unaharjbu dhana nzuri ya uboreshwaji wa sheria hizo

Wabunge wa ccm wako busy na simu zao wameinama wote ila spika akihoji tu "Wanao pinga wazo la tundu lissu waseme siyo" siyooooooo then wanarejea kwenye simu zao
 
Makamba,AG,na Mh Waziri leo leo chupi zimewashuka!ni akili ndogo sana kujua ilo,naona mpaka Makinda kaamua kumpuuza na kum challenge Ag sasa
 
Mama yangu ungemuweza wewe? Ona kwanza umeshaanza matusi na kuvunja hiyohiyo sheria ambayo Lissu anakutetea.

Kapuku utalijua tu maana halijielewi. Hii sheria ingelikuwa imeshaanza, ningelikupeleka mahakamani.

Sasa kwa sababu Mama yangu ni Marehemu siku nyingi hata kabla hujazaliwa, sijui ulimpata wapi?

Unafikiri wote hapa watoto kama wewe? Kali Mpali Yawe.... hahahahaaa.... Msula eve......
Naona mbini umekuingia sawa sawa matusi yapo wapi punguani wahedi unavyokuja na maneno ya kishoga unadhani mimi takaa kimya au taogopa kukujibu mpuuzi kama wewe leo vipi ujakimbilia kwa Mods.
 
Naangalia Bunge, I'm impressed and Inspired by this Guru of Laws. Mchango wake katika Muswada wa Cybercrimes Act ni wa kupigiwa mfano.
Yeye na Mnyika wanalisaidia Taifa ili lipate Sheria Bora na si Bora Sheria.
Hadi sasa sijaona mchango wowote wa marekebisho ya vifungu vya Sheria toka kwa Wabunge wa CCM.

Apart from siyo na ndiyo wabunge wa CCM hakuna kitu...wapo tu kwa sababu ya wingi wao ili wakiegemea upande mmoja wapitishe na wasiyoyajua! Natamani wawe na kumbu kumbu mujarabu ili siku moja mmojwapo akifanya kosa akihukumiwa akilalamika akumbushwe kwamba sheria inayomhukumu alishiriki kuipitisha kwa majibu ya ndioooooo!
 
hivi mbona hao wabunge wa ccm hawaonekani ila sauti zao zinaonesha wapo wengi tu humo mjengoni kwenye kukataa tu hoja za wenzao na wao hawana za kwao
 
Siktir git...


Naona mbini umekuingia sawa sawa matusi yapo wapi punguani wahedi unavyokuja na maneno ya kishoga unadhani mimi takaa kimya au taogopa kukujibu mpuuzi kama wewe leo vipi ujakimbilia kwa Mods.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom