Duh! Ukishangaa ya Musa utaona mazingaombwe ya Firauni...
wabunge wote wa viti maalum futa delete kabisa,jamani vyama vya siasa tuleteeni wabunge wenye GB1000000 kama tundu lisu mwezi oktoberKimsingi hapa tumegundua kumbe tunahitaji wabunge kama Lissu na Mnyika hapa hatutasahau la pili kwa leo naona huyu jamaa apewe posho hata za wabunge 100 me kwangu safiiiiii
Kwa kutetea sinema za ngono?
Kwakweli huyu Mh. Lissu anajua nini kimempeleka bungeni, hakyanani Mungu aendelee kumlinda.
Kwakweli huyu Mh. Lissu anajua nini kimempeleka bungeni, hakyanani Mungu aendelee kumlinda.
cha kushangaza maji marefu na lissu wote wanachukua posho sawa wakati lissu anaumiza kichwa bungeni kwa ajili ya kututetea walalahoi.
Who are hackers..je hackers should be set free with their practices? Nchi gani duniani inakubali hackers? Were is snowden na mardon brandley and julian assange? Do thisman understand what is child porn? Can you view it online or were? To know the law is not to know IT!
unaandika kiingereza au maneno ya kingeraza?
Every spoken language has its own rules. Pathetic.