masumbuko dogo
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 456
- 118
Waziri na naibu wake hoi bin taaban.simuoni Machalli yuko wapi???
Naona mbini umekuingia sawa sawa matusi yapo wapi punguani wahedi unavyokuja na maneno ya kishoga unadhani mimi takaa kimya au taogopa kukujibu mpuuzi kama wewe leo vipi ujakimbilia kwa Mods.
Siktir git...
Hakika Lisu ni bora kuliko wabunge 200 wa sisiem
Wanajamvi,
Katika hali ya sintofahamu inayoendelea bungeni kumebakia sauti ya Lissu, Mnyika, AG na Spika tu! Huku January Makamba na Waziri wake wa Mawasiliano wakichangia kwa kunyemelea.
Cha kushangaza wabunge wengine wamebaki kusubiri kuambiwa WANAFIKI WASEME NDIYOOOOO!
sipati picha zitto ndiyo angekuwa ana kichwa cha lissu, mamawee sijui tunhejificha wapi... Kweli mungu huwabariki na kuwainua wanyenyekevu na kuwashusha wenye kiburi.
Long live lissu
Huyo AG kachoka.