Umesahau ni wazee wa fisi?hivi mbona hao wabunge wa ccm hawaonekani ila sauti zao zinaonesha wapo wengi tu humo mjengoni kwenye kukataa tu hoja za wenzao na wao hawana za kwao
Kweli kabisaKuliko wote wa mafisi
Naona kijana unatafuta baasha kwa nguvu kwani mama yake kafariki lini? Sasa Bavicha atakuwa na miaka mingapi?Mjibu swali lake, kakuuliza hivi "Mama yake alifariki zamani kabla ya wewe kuzaliwa, je wewe ulimpata wapi?
Katika hali isiyo ya kawaida,Ghafla mh.Tundu lissu amezima ujio wa ACT kwenye mitandao ya kijamii,Kifupi Lissu amesababisha hasara kubwa kwa chama hiki kipya kinachojitaidi kujitangaza kwa muda huu kuelekea uchaguzi mkuu
Lissu ameweza kuzima habari za ACT kwa kwa hoja zake moto moto na zenye mashiko bungeni.
Asante kamanda Lissu!
bila lissu leo kurekebisha vifungu tungefungwa wote tunaotumia simu....
Kwa hiyo kifo cha ACT kinanukia?????
Naona kijana unatafuta baasha kwa nguvu kwani mama yake kafariki lini? Sasa Bavicha atakuwa na miaka mingapi?
Umesahau ni wazee wa fisi?