Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

Eti wapinzani bungeni hakuna Baada ya kuondoka ZKK. Mmeonaa wanaume wanavyoichachafya serikali?. Saiz atakuwa anajuta kwann aliondoka. Yeye alijua wangemubembeleza.
 
Who are hackers..je hackers should be set free with their practices? Nchi gani duniani inakubali hackers? Were is snowden na mardon brandley and julian assange? Do thisman understand what is child porn? Can you view it online or were? To know the law is not to know IT!

pamoja na vi-knowing vyako vya IT linapokuja suala la sheria ni kitu kingine mkuu, utafungwa kijinga, hata sie ma-IT specialist lakini tumekaa kusikiliza wataalamu wetu wa sheria wanatuambia tusijefanya makosa ya kijinga
 
Naangalia Bunge, I'm impressed and Inspired by this Guru of Laws. Mchango wake katika Muswada wa Cybercrimes Act ni wa kupigiwa mfano.
Yeye na Mnyika wanalisaidia Taifa ili lipate Sheria Bora na si Bora Sheria.
Hadi sasa sijaona mchango wowote wa marekebisho ya vifungu vya Sheria toka kwa Wabunge wa CCM.
 
Haya peleka kwenye discussion za madarasa ya sheria...si lazima kila mtu awe mwanasheria ila hata kama Lisu anatupeleka chaka let him...kwanza yuko smart kumzidi A.G mara 1000!

Umefurugwa meeee,beeeee!
 
Hahahahaha mwanasheria wa serikali kwa Lissu anaachwa mbali sana..jasho linamtoka kinachomlinda ni slogan ya ccm ya ndiyoo&hapanaa tofauti na hivyo kesho angepewa barua ya kukabidhi office.
 
ili bunge mpaka sasa limebaki kwa lisu na AG daa wote wapo hoi
 
Huyu jamaa ----- wa issues your blind because of his legal knowledge....hajui what are whistle blowers au ponographic practices...lisu leo kachemka

Mmeumbuka sana na alhaji wenu wa kugushi
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA mh TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE UKANDA WA MAZIWA MAKUU TANGU MUNGU AUMBE MBINGU NA ARDHI .
 
Back
Top Bottom