super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,478
- 1,099
Aknowledging and commercial value...intellectual property lissu anaona hamna shida...damn
cha kushangaza maji marefu na lissu wote wanachukua posho sawa wakati lissu anaumiza kichwa bungeni kwa ajili ya kututetea walalahoi.
Kwakweli huyu Mh. Lissu anajua nini kimempeleka bungeni, hakyanani Mungu aendelee kumlinda.
Kimsingi hapa tumegundua kumbe tunahitaji wabunge kama Lissu na Mnyika hapa hatutasahau la pili kwa leo naona huyu jamaa apewe posho hata za wabunge 100 me kwangu safiiiiii
Kwa wale wanasema chadema ni chama cha wachaga ss angalieni lisu mtu kutoka sigida anavyotusaidia chadema
dah kwa kwel analtendea hak taifa lake
Mama makinda huna sababu ya ku to mzawadia Jabulani leo. Sababu tumeona wachezaji wengi wanalipwa mshahara lakini Hawana msaada ndani ya pitch (bungeni).
Huwa napata sana juu ya uelewa wa mashabiki wa ccm, sijui hawaelewi au wanajitoa akili.
Nina mashaka sana na kusoma kwenu.
Mimi nilimsikiliza vizuri Tundu Lisu na nikamelewa vizuri hoja zake.
Tena basi ili kuubolesha ule mswaada nilitalijia wangewaita wanasheria wakaangalia namna gani ya kuuboresha.
Lakini badala yake wanaanza ngonjela zao kama kawa.
Kama ulifogi vyeti huwezi kamwe ukamuunga mkono Tundu Lisu.