Umeupata nini maana hata sijaelewa serikali unataka ichukue hatua gani. Au iwakate vikojoleo raia yake.Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa lita angamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?
Acha uoga! Kama UKIMWI ungekuwa unaangamiza, mpaka sasa taifa la South Africa lingekuwa limeshatoweka kwenye ramani ya Dunia!Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa lita angamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana pesa. Wanasambaza kwa vijana na vijana wanasambaziana.
Siri ni kubwa sana na Taifa lina angamia. Vijana wana angamia na wazee pia nani atapona nani atakuwa na uchungu kwa Taifa?
Vipi wewe huwa unatumia kinga?Wengi wanajidanganya kwamba eti dawa imepatikana, wanasema heri ukimwi kuliko Ebola au corona maana ukimwi unaweza kutumia dawa uka survive hata miaka 20 wakati Ebola na corona week mbili tu umekatika,
Kiukweli ukimwi unaua watu wengi sana sana , jamani dawa zina mwisho wake wa nguvu, zinafika mahali zinaishiwa nguvu kabisa, nimeshuhudia watu wengi sana wanaotumia dawa wakiondoka baada ya dawa kushindwa kazi kabisa, ndugu zangu chonde chonde wapendwa tuwe makini jamani Ukimwi bado upo na una ua wandugu!
Mbona kama unatisha watu, ukikamatwa uchapwe viboko utasema unaonewa? Ukimwi ilikuja na tunaishi nao tuu, ukila tunda bovu bila kinga basi utaishi kwa vidoge, life goes on
Hiyo ilikuwa kipindi hicho Ukimwi ndio unaingia, ila miaka ya hivi karibuni mtu tena kijana kufa kwa ukimwi ni uzembe wa kiwango cha lami, tena hata ukifa ni lazma tukuweke viboko kabla hatuja kuzikaMpaka uone baba,mama wakiteketea katika familia na kuacha watoto yatima ndio utashtuka mwenzetu?!?