Bila kutangazwa Tenda waarabu wapewa Bandari, Ngorongoro, Mwendokasi na KIA

Unasahau au hujui:
1. Adani aliyekataliwa Kenya ujenzi wa JKIA; hapa kaja na kumaliza mazungumzo yote ya Kazi Bandarini na Samia na kurudi zake nyumbani kwa ndege yake. Hakuna chochote kilichokwihazungumzwa kuhusu makubaliano hayo.

2. Wajomba wa Oman walipewa gesi ya Ntorya kule Mtwara. Wewe ulishasikia lolote makubaliano yao na Samia yalikuwa vipi?

Huyu Samia alisema atakuwa "Chura Kiziwi"; hatasikia tena la mtu yeyote isipokuwa yeye mwenyewe.
Hiki ni kiburi cha shetani, ndicho kimefikia hata kuua waTanzania.

Huyu kama akiachwa aendelee atasababisha maafa makubwa sana katika nchi hii.
 
Mjomba ni mama
20260313_182428.jpg
 
Maafa makubwa mno ,wakati huo huo anaineemesha Zanzibar.
 
Tayari yamesababishwa na ikiendelea hivi baada ya miaka miwili Tanzania litakuwa bomu linalosubiri kulipuka.
 
Unasahau au hujui:
1. Adani aliyekataliwa Kenya ujenzi wa JKIA; hapa kaja na kumaliza mazungumzo yote ya Kazi Bandarini na Samia na kurudi zake nyumbani kwa ndege yake. Hakuna chochote kilichokwihazungumzwa kuhusu makubaliano hayo.

2. Wajomba wa Oman walipewa gesi ya Ntorya kule Mtwara. Wewe ulishasikia lolote makubaliano yao na Samia yalikuwa vipi?

Huyu Samia alisema atakuwa "Chura Kiziwi"; hatasikia tena la mtu yeyote isipokuwa yeye mwenyewe.
Hiki ni kiburi cha shetani, ndicho kimefikia hata kuua waTanzania.

Huyu kama akiachwa aendelee atasababisha maafa makubwa sana katika nchi hii.
Kwa jinsi mfalme Mangungo anavyokumbukwa katika historia kutokana na kufanya maamuzi makubwa na ya hovyo kuendana na ukilaza wake, bila shaka hata huyu Bibi Tarabushi naye ameingia katika historia kama hiyo. Muda utakuja kuongea.
 
Utanisamehe mkuu 'izato'; mlinganisho wako hauendani kabisa.

Wakati Mhenga Mangungo anafanya anayosemwa kuyafanya hakuwa na nia ya wazi kabisa ya kuvuruga himaya aliyokuwa akiitawala. Hilo halikuwa lengo lake.

Samia yeye kadhamiria waziwazi kuvuruga nchi hii kwa njia mbalimbali.

Huyu moja kwa moja ni mhalifu anayetakiwa kuwajibishwa haraka.
 
Back
Top Bottom