The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,996
- 13,532
Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
😎Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, bola kuwaua au kuwaondoa niitenyau na turamp wataiangamiza dunia
Tulia dawa iingie, aondoshwe aende Wapi?. Mungu ibariki Israeli.Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
Hayo yoye anafanya ili kujilinda na kesi za ubadhirifu wa fedha,ila nina hakika mwisho wake ukaribuKama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
Muda wake utafikaDaah yule bwana Nyau sio kabisa kwa anayoyafanyaa sio poa.
Hamas wala hawajaanzisha ugomvi, Hamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas, nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.Mambo ya aliyofanya Israeli huko GAZA ni ya kutisha sana:
GAZA mji mzuri umegeuka kifusi:
HAMAS wameighalimu Gaza pakubwa sana:
GAZA inaenda kugeuka majivu na hakuna wa kuitetea:
Hivi hao HAMASI walianzishaje ugomvi bila ya kuutathimini ?
Binafsi nijisikia uchungu sana kwa kinachoendelea GAZA:
Umeongea ukweli mtupu ila wengi watakutukana kwa ujinga wao,nelson mandela aliitwa gaidi na mataifa ya magharibi na marekani yalimwita gaidi kwa kuoigania haki yao.Muda utaongea siku moja kuhusu hamas.Hamas wala hawajaanzisha ugomvi, Hamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas, nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.
Ukipata muda soma kitu kinaitwa "The Great Israel" uone mission ya Israel kuwa Taifa kubwa, kwaiyo hapa ni suala la muda tu ila kwa ukanda ule wataonewa wengi.
Kwaiyo tusimgeuze mtu ambae anaonewa kuwa mkosefu pale anapotafuta haki yake.
KInachotutesa katika huu mgogoro ni Udini! Mimi ni Mkristo ila nimekubali kujifunza kuwa Israel ndiye muhuni No. 1 hapa Duniani.Umeongea ukweli mtupu ila wengi watakutukana kwa ujinga wao,nelson mandela aliitwa gaidi na mataifa ya magharibi na marekani yalimwita gaidi kwa kuoigania haki yao.Muda utaongea siku moja kuhusu hamas.
Hatoingamiza dunia, usihusishe dunia kwenye migogoro ya watu wengine.Kama walivyofanya kwa Hitler na Mussolini, au kuwaondoa Benjamin Netanyahu na Trump wataiangamiza dunia
Kuna namna nyingi ya kudai haki:Hamas wala hawajaanzisha ugomvi, Hamas wapo pale kutafuta uhuru wa nchi yao kama wakina Karume na Nyerere na Mandela unaowasoma leo vizuri kwenye vitabu basi nao walipita njia hizihizi za Hamas, nakukumbusha tu kuwa Hamas imeanzishwa hapo majuzi tu ata miaka 40 haina ila mauaji ya Wapalestina yalianza miaka ya 1910+.
Ukipata muda soma kitu kinaitwa "The Great Israel" uone mission ya Israel kuwa Taifa kubwa, kwaiyo hapa ni suala la muda tu ila kwa ukanda ule wataonewa wengi.
Kwaiyo tusimgeuze mtu ambae anaonewa kuwa mkosefu pale anapotafuta haki yake.
Mkuu unamfundisha mtu ambae anaona ndugu zake wanauliwa na kunyang'anywa ardhi tangia anazaliwa mpaka anafika miaka 30? Umeua kaka zake, shangazi zake, wajomba zake, anaona unakuja unavunja nyumba yao mpaka anapata akili anaona unayofanya kwenye jamii yake alafu leo unataka umpangie namna ya kudai haki?Kuna namna nyingi ya kudai haki:
Namna alivyofanya hamasi haikubaliki:
Hata kama ulionewa namna gani, njia aliyo tumia Hamas siyo sahihi hata kidogo:
Kuua na kuteka watu wasio na hatia sio namna bora ya kudai haki:
Kitendo alicho kifamya Hamas kimeipa sababu Israeli kufanya maangamizi makubwa Gaza:
Na bado Gaza inaendelea kuangamia:
Nina uhakika Hamasi kwa sasa wanajutia kitendo cha kuingiza ugomvi wao na Israeli kwa kudhurimu haki ya kuishi ya raia wa Israeli:
Gaza kwa sasa ni magofu na vifusi na bado inapigwa, sasa kuna faida gani kwa Hamas:
Hamas kama wangejua matokeo ya uvamizi wao wasingethubutu kuimchokoza Israeli ile siku:
kuharibika kwa dunia na mpaka kwetu athari zitatufikia kwani,mataifa mengi yataingia vitanda,ukacwa bahari unaopitisha meli zenye bidhaa kuha huku kwetu utaathiriwa na vita,bidhaa zitakuwa hazipatikani,zitapanda bei,mfumo wa kibiashara utaathiriwa huku pia tutaathirika,ndio maana tuombe hii vita isipanuke,isuluhishweHatoingamiza dunia, usihusishe dunia kwenye migogoro ya watu wengine.
Kila nchi ina matatizo yake, kila mtu apambane na lakwake