Bila kukurukakara..

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,634
Reaction score
89,398

bila kuvutana mashati wala kaptura ni nice and slowπŸ˜€
 

bila kuvutana mashati wala kaptura ni nice and slowπŸ˜€

Mkuu; Wengine chungeni maneno mnayosema na hata kuwaza. ati, bila kuvutana nini??... nice and slow?? Angalieni maneno yenu
 
Gambia noma baada ya kumtoa kwa nguvu walimwambia ndani ya saa usionekane Gambia
 
Jp atakubali kweli kukabidhi mwaka 2020?
[emoji23] [emoji23] Just kidding.!
 
Hata tume zao ni huru,huku Tz ni tume za upande mmoja.
 
Africa tunahitaji kutawaliwa tena.
 
Nasikia Jecha alikuwa Azam tv leo. Nautafuta uzi huo hapa alichosema siuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…