Bila kuchunika kuna ukimwi?

Virusi vya ukimwi vinaishi kwenye damu, manii, na yale majimaji ya ukeni. Na kwa mintarafu ya nani kati ya mwanamke na mwanaume mwenye hatari zaidi kuambukizwa, ni mwanamke ndio mwenye hatari zaidi. Chukulia kwa mfano mwanaume mwenye kumwaga haraka, tuseme akishaingiza tu uume wake anapiga nje ndani kama mara tatu au nne hivi halafu huyo anamwaga. Nje ndani mara tatu au nne haichukui muda mrefu...takriban tuseme dakika moja au hata chini ya hapo. Kwa vile VVU vinaishi pia kwenye manii, itakuwa rahisi sana kwa mwanamme kumwambukiza mwanamke kama mwanamme huyo anavyo hivyo virusi. Sasa tuseme mwanamke ndio awe na hivyo virusi halafu anamegwa na mwanamme ambaye anamwaga haraka, itakuwa vigumu (sisemi haiwezekani) kwa mwanamme kuambukizwa kwa sababu atakuwa hajatumia muda mwingi ndani ya uke

Kwa upande mwingine mwanamme ambaye anatumia muda mrefu kumwaga, huyu ndiyo mwenye hatari zaidi ya kuambukizwa hivyo virusi kwa sababu kama umewahi kumega kwa muda mrefu utagundua kuwa uke wa mwanamke huwaga unakauka ule unyevunyevu wake. Ukavu huo husababisha michubuko kwa wote wawili. Tena mara nyingi ukimmega demu hadi uke wake ukikauka kesho yake akienda msalani kujisaidia haja ndogo anakuwa anasikia maumivu ya kuungua (burning sensation).

Natumaini nimejibu swali lako kikamilifu.

thanks kwa jb zuri mkuu
inamana kama akuna msuguano wa mda mrefu kwa mwanaume anayekojoa haraka uwezekano wa maambukizi ni mdogo sana
 
Kwa wale wanaopata vimwana wapya na kuanza kusafisha kwa kunyoa ni hatari sana. Unatakiwa ukinyoa ukae wiki moja bila kukutana mwanamke otherwise hata kama umevaa condom umekwisha!!! Bado kunakuwa na michubuko!!!!!!!!
 
Lakini pia kwa mwanamme ambaye hajatahiriwa ana uwezekano wa kupata maambukizi kwa 60% bila ya kujali kama amepata michubuko kutokana na ulaini wa maumbile
 
Back
Top Bottom