Kashikiwa bunduki?
huyo rafiki ako ni boya, amwambie basi hana uwezo aone binti atakavohaha hapo
nanyie wanaume wa siku hizi sijui mkoje ndo maana mnapelekeshwa
Kashikiwa bunduki?
huyo rafiki ako ni boya, amwambie basi hana uwezo aone binti atakavohaha hapo
nanyie wanaume wa siku hizi sijui mkoje ndo maana mnapelekeshwa
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.
Huyo dada anatishia kujamba tu hana lolotessshhh ! taratibu, acha tuwapelekeshe hivo hivo.
ssshhh ! taratibu, acha tuwapelekeshe hivo hivo.
Chinekeeeeeeee.......mkuhu wewe ni muhongo sanah!!
Kweli wanawake wanajua kushikilia akili za wanaume mshkaji wangu an girlfrind wake wa miaka miwili kaambiwa ukweli na mchumba wake bila kununua gari a kutembelea ndoa hakua harusi kikao cha pili. mshkaji anahaha kukichangisha hadi m9 ifike. wadada mbona mnatuanyia hivo lakini?
Chinekeeeeeeee.......
Ndio dawa ya wanaume wasio jitambua,nampa big up huyo dada. Ahakikishe jamaa anainunua kila hatua watayopiga maishani mpaka atakapojifunza kusimama kama mwanaume!!