BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
🙂🙂🙂 Hutaki gari weye!? Gari unapenda? Mercedes Benz, Audi au Bavaria Motor Works (BMW)?
mmmmmmmmmhhhhh!!!
mmmmmmmmmhhhhh!!!
Kashikiwa bunduki?
huyo rafiki ako ni boya, amwambie basi hana uwezo aone binti atakavohaha hapo
nanyie wanaume wa siku hizi sijui mkoje ndo maana mnapelekeshwa
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.
Yani huyo mwanaume nae hajitambyi,anapekekwa tu kama zuzy,anashindwa kusimamia nafasi yake kama mwanaume,
angekua kwenye ndoa ningesema ''ndoa ndoano''...sasa bado uchumba ndio haya...hakika ''uchumba uchumbano''
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.
Huyo mshikaji wako bongolala kweli, kusema ukweli nimekutana na maf.ala huyu ni f.ala wa kwanza kusikia,huyo mwanamke anaetaka kumuoa yeye anakuja na nini mpaka jamaa apite kwenye milima na mabonde akope gari?Kwa taarifa yako ataishi kwa taabu maisha yake yote kama anaanza kukubali request za kijinga kijinga za mke mtarajiwa.Vikao kitu gani bwana, amumwage tu mjinga huyoKweli wanawake wanajua kushikilia akili za wanaume mshkaji wangu an girlfrind wake wa miaka miwili kaambiwa ukweli na mchumba wake bila kununua gari a kutembelea ndoa hakua harusi kikao cha pili. mshkaji anahaha kukichangisha hadi m9 ifike. wadada mbona mnatuanyia hivo lakini?