Bila gari ndoa haifungwi

na mimi naenda kudai nyumba ya ghorofa ila chonde chonde humu naomba muanze kunichangia hela ya hospital maana nitarudi na manundu hapa.
 
Kweli wanawake wanajua kushikilia akili za wanaume mshkaji wangu an girlfrind wake wa miaka miwili kaambiwa ukweli na mchumba wake bila kununua gari a kutembelea ndoa hakua harusi kikao cha pili. mshkaji anahaha kukichangisha hadi m9 ifike. wadada mbona mnatuanyia hivo lakini?

Jamaa ndio anatemwa kiana. Lazima kuna mtu mwingine kampa hiyo ahadi ya gari. Jamaa atulize kichwa aachane na huyo mwenye masharti magumu. Hivi huyo binti baba yake ana gari? Tu assume analo, je wakati baba yake anaoa alikuwa na gari?
Raha ya mali mchume wote!
 
Mrejesho hadi sasa zimefika m7 bado mbili tu naimani zoezi litakamilika jamani mtu ameshikwa pabaya inabidi gari inunuliwe
 
Kashikiwa bunduki?
huyo rafiki ako ni boya, amwambie basi hana uwezo aone binti atakavohaha hapo
nanyie wanaume wa siku hizi sijui mkoje ndo maana mnapelekeshwa

Nimekupendaje Evelyn Salt!!
Sasa hapo ni uchumba tu fikiria atakapomuoa atapelekeshwa kama mbio za mwenge
 
eve hawa watu bila kuwa bandidu mambo hayaendi bana, so big up mdada kaza buti tena akinunua mwambie bila kujenga nyumba mtoto hazaliwi.

Kwanni vitu vya kupita visivyo na guarantee viwe attached na life commitment? Haya suppose hilo gari la 9m limenunuliwa na kwa kuwa bwana harusi pesa yote imeishi kwenye gari na gharama za harusi hivyo bima aliyokata ni third part. Wakiwa honey moon Bagamoyo gari limeungua completely vipi shosti atadai talaka?
 
Ndoa mtaji hiyo, ndo maana wanawake wengi siku hizi wanaua mume zao anapokuwa na mali za kutosha, kifupi tamaa zimezidi mpaka ubinadamu umewatoka wanawake(sio wote)
 
Ingekuwa hivyo ndoa zisingefungwa na watoto wasingezaliwa,tulikuja watupu na tutaondoka watupu,mali ni matokeo kuna jamii nyingi na familia hazina mali(magari ,majumba ) na maisha yanaenda tena vizuri kwa amani
mawazo kama haya hapo red ndio yanayofanya watu wa afrika tuwe masikini tu. tunaweka investments si kwa ajili yetu tu, bali na kwa vizazi vyetu vijavyo, angalia kina bush wananua uranium wanajua vijukuu vyao vitakuja kutumia....
 
Bobby hivi unaamini kwamba bibi harusi anaweza kuleta condition kama hiyo wakati harusi ipo katika kikao cha pili? mi siamini bana
Kwanni vitu vya kupita visivyo na guarantee viwe attached na life commitment? Haya suppose hilo gari la 9m limenunuliwa na kwa kuwa bwana harusi pesa yote imeishi kwenye gari na gharama za harusi hivyo bima aliyokata ni third part. Wakiwa honey moon Bagamoyo gari limeungua completely vipi shosti atadai talaka?
 
Last edited by a moderator:
Bobby hivi unaamini kwamba bibi harusi anaweza kuleta condition kama hiyo wakati harusi ipo katika kikao cha pili? mi siamini bana

Demba inawezekana kbs!! Watu tunatofautiana sana kwenye haya mambo.
 
Last edited by a moderator:
ni mbaya sana kuendekexs mwanamke huyu atapelekwa,ataachiwa kulea mke ansenda disko,mwambie mme lakima kuwa ngangari vinginevo majanga,lazima kuwa kauzu na maamuz yasiyotabirika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom